naombeni mnipe orodha nzima ya majina ya wachezaji wa Yanga

List ipo ila Zahera anasema wachezaji wa Uto wamenenepa kama wajawazito.sasa itakuwaje?
 
Mvua imesha nyesha mkuu Simba atashinda.

Simba ni mzuri sana jumapili.

Mvua ikinyesha ndio Dalili ya Simba KUSHINDA.

Ila idadi ya Magoli sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…