Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Hata baada ya kusali rozali bado una wasiwasi? Tafsiri yake ni nyepesi. Huna imani na rozali. Huna imani juu ya Yesu Kristo.

Tukishasali, tunakumbushwa kujawa na imani kuu. Ya kwamba yale yote tuliyoyaomba yatatendeka.

Acha hofu. Taja damu ya Yesu Kristo aliye hai. Yeye alikufa Msalabani kwa ajili ya mateso n dhambi zetu.
 
Mara ya mwisho umenanihii ni lini?
Muda mwingine ni mechanism ya mwili kutaka kupunguzwa uzito🤣🤣 elewa neno uzito🤣🤣👆

Kiislamu ukiota ndoto mbaya unaomba dua Mungu akukinge na Shari ya hiyo ndoto, halafu usimsimulie mtu.....Unakumbuka Yusuf/Joseph alipoota, Baba yake alimwambia asisimulie ndugu zake.....wasije kumfanyia vitimbi, ingawa yeye ndoto yake ilikuwa nzuri.
 
Hili haliwezi kumfanya akeshe mpaka muda huu, na angekuwa na upwiru basi angeota ndoto nyevu siyo ya kutisha..
 
Utani huu hapana rafiki
 
Unajua nini kuhusu damu ya Yesu?

Tuanzie hapo..
Damu ya Yesu ni neno lake (pamoja na mwili wake). Rejea kitabu cha Yohana.
Siyo kazi ya neno la damu ya Yesu kukufunika wewe. Sawa? Ni kwa ajili ya kuondoa/kusafisha dhambi TU moyoni mwako.

Ungesema aombe ulinzi wa Yesu umfunike, na si NENO lake.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Utaishi binti yangu, usihofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…