Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Guys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana
Inbox please maana hilo jina si lako sahihi na kumbuka kuna nguvu za 1 kwa 1 kwenye maombi kupitia jina halisi.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Guys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani😭😭😭😭.. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana
Amka omba mara kwa mara
 
Unapokabiliwa na hofu na mashaka, inaweza kuwa vigumu kujua ikiwa unafuata mwongozo wa Mungu.
Hofu inaweza kukufanya uhisi kama unashambuliwa, wakati shaka inaweza kukufanya uhoji kila kitu unachoamini. Hisia hizi zinaweza kuwa kali sana, na zinaweza kukuongoza kutilia shaka mpango wa Mungu kwa maisha yako.
Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba hisia hizi hazitokani na Mungu. Wanatoka kwa adui, na wamekusudiwa kukuzuia usifuate mapenzi ya Mungu.
Unapokabiliwa na hofu na mashaka, kumbuka mambo haya:
  • Mungu yu pamoja nawe.
  • Ana mpango wa maisha yako.
  • Adui anajaribu kukudanganya.
  • Unaweza kushinda hofu na mashaka kwa kumwamini Mungu.
 
Kweli kuna mtu anamchezea tu hapo. Kikubwa aombe tu kwa Imani na tumpe faraja basi.
 
Guys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana

It i will pass ila hofu hupoteza muelekeo, kataa hofu
 
Guys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani😭😭😭😭.. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana
Wewe hebu njoo nikuoe
 
Back
Top Bottom