Guys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana