Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nilizima, nilikuwa na kakikao bro, now napatikanahupatikani hata hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilizima, nilikuwa na kakikao bro, now napatikanahupatikani hata hivyo
Sawa nafikiri baadae kidogo niko barabaraniNilizima, nilikuwa na kakikao bro, now napatikana
Guys namshukuru Mungu naendelea vizuri mpaka sasa.... nawashukuruni members wote na moderators wote ambao mlikua pamoja nami usiku mapaka sasa wengine bado mnaendelea kunifariji kuhakikisha naipata amani niliyokua naitafuta maana haikua rahisi pekeyangu kulipita hili ,,. Wengine mlienda mbali zaidi mkaacha shughuli zenu pamoja na uchovu wote wa siku nzima ya jana lakini kwa upendo wenu mliamua kukesha pamoja na mimi kwa maombi na maneno yenu nimefarijika sana... Sina cha kuwalipa ila tu nawaombea mda wenu mlioutoa kwangu usipotee bure,,, Japo ni wengi ila ningeweza kuwataja kwa majina,, lakini kama mlivyoamua kunifata na kunifariji sirini basi iendelee kua siri. Mungu awabariki sana na ninawapenda sana wote [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
What happened in that midnight mkuu maana ilikua saa 8Guys namshukuru Mungu naendelea vizuri mpaka sasa.... nawashukuruni members wote na moderators wote ambao mlikua pamoja nami usiku mapaka sasa wengine bado mnaendelea kunifariji kuhakikisha naipata amani niliyokua naitafuta maana haikua rahisi pekeyangu kulipita hili ,,. Wengine mlienda mbali zaidi mkaacha shughuli zenu pamoja na uchovu wote wa siku nzima ya jana lakini kwa upendo wenu mliamua kukesha pamoja na mimi kwa maombi na maneno yenu nimefarijika sana... Sina cha kuwalipa ila tu nawaombea mda wenu mlioutoa kwangu usipotee bure,,, Japo ni wengi ila ningeweza kuwataja kwa majina,, lakini kama mlivyoamua kunifata na kunifariji sirini basi iendelee kua siri. Mungu awabariki sana na ninawapenda sana wote 🙏🙏🙏🙏
Hakika umeshiba neno la kiroho na bwana akafanye njia zako ziwe nyepesi na uponyaji wako uwe wa kudumu kabisaGuys namshukuru Mungu naendelea vizuri mpaka sasa.... nawashukuruni members wote na moderators wote ambao mlikua pamoja nami usiku mapaka sasa wengine bado mnaendelea kunifariji kuhakikisha naipata amani niliyokua naitafuta maana haikua rahisi pekeyangu kulipita hili ,,. Wengine mlienda mbali zaidi mkaacha shughuli zenu pamoja na uchovu wote wa siku nzima ya jana lakini kwa upendo wenu mliamua kukesha pamoja na mimi kwa maombi na maneno yenu nimefarijika sana... Sina cha kuwalipa ila tu nawaombea mda wenu mlioutoa kwangu usipotee bure,,, Japo ni wengi ila ningeweza kuwataja kwa majina,, lakini kama mlivyoamua kunifata na kunifariji sirini basi iendelee kua siri. Mungu awabariki sana na ninawapenda sana wote [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Guys namshukuru Mungu naendelea vizuri mpaka sasa.... nawashukuruni members wote na moderators wote ambao mlikua pamoja nami usiku mapaka sasa wengine bado mnaendelea kunifariji kuhakikisha naipata amani niliyokua naitafuta maana haikua rahisi pekeyangu kulipita hili ,,. Wengine mlienda mbali zaidi mkaacha shughuli zenu pamoja na uchovu wote wa siku nzima ya jana lakini kwa upendo wenu mliamua kukesha pamoja na mimi kwa maombi na maneno yenu nimefarijika sana... Sina cha kuwalipa ila tu nawaombea mda wenu mlioutoa kwangu usipotee bure,,, Japo ni wengi ila ningeweza kuwataja kwa majina,, lakini kama mlivyoamua kunifata na kunifariji sirini basi iendelee kua siri. Mungu awabariki sana na ninawapenda sana wote [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pamoja mkuuOfcourse ilikua kuanzia saa7, baada ya mimi kushindwa alone ndo nikaweka bandiko hapa... ila namshukuru Mungu limepita salama
chagua Mungu mmoja umwamini, rozali ni ibada ya miungu ya kirumi haina uhusiano na Mungu wa YesuGuys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani😭😭😭😭.. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana
Sawa mkuuSidhani kama tunahitaji kufahamu jina lake ila anahitaji faraja tu.