Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

mwenyezi mungu yu pamoja nawe,kwa uwezo wake hakuna baya lolote litakalokufika
 
Usiwe na wasiwasi amini kemea pinga roho ya mauti na hakuna baya litakokukuta IJN!
Amen
 
pole sana mke wangu,damu ya yesu ikapate kukutakasa akili pamoja na moyo na moto wa roho mtakatifu ukapate kuunguza hila mbaya za muovu shetani katika jina la yesuuu!! Amen
Si kazi ya damu ya Yesu kukutakasa akili.
Si kazi ya moto wa roho takatifu kuunguza hila mbaya za muovu.

Damu ya Yesu ina kazi ya KUSAFISHA DHAMBI ZAKO TU.

MOTO NI NENO LA KUHUKUMU, lina kazi ya kutangaza habari njema na kuteketeza mbegu ya shetani TU, ndani ya moyo wa yule ambaye ataridhia.
 
Nataka nikaoe ili katulie,mara chuchu zinamuuma mara kaota ndoto mbaya huoni nikimuoa atakuwa safe.

Hebu kaambie kaje dm chap
sasa anza kujichukulia point hapa huko mbele utakuwa unateleza tu
 
sasa anza kujichukulia point hapa huko mbele utakuwa unateleza tu
Ww mm sio kama hawa vijana wa hovyo humu ndan majobless kutwa kucha kushinda humu..we kaambie kaje dm au mpe namba yangu anitafute. Mm sio muumin wa kushinda humu masaa yote..kazi ni nyng sana
 
kati ya mambo ambayo huwa siyaogopi ni ndoto na uchawi,huwa naota ndoto mbaya na sioni reflections zake zozote
cha muhimu ni kusali na kumuamini MUNGU basi.
 
Vita inaendeleaje best, tukuongezee siraha za kutumia... ?

Uwanja wa vita ni kwenye Akili(nafsi) yako huo ndio uwanja wa vita
 
Guys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani😭😭😭😭.. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana
Kuwa na mpangilio mzuri kabla ya kulala , Kama kula matunda ,mazoezi kusikiliza worship music n.k

Then usipende kuongea maneno negative Kama hayo maana Death and life tayari vipo so what do you scare of

Kabla ya kulala take shower Fanya ibada ya sala ndefu na fupi

Pia kaa mbali na ngono maana hizo ndo zinaharibu mtiririko mzuri wa mawazo
 
Back
Top Bottom