Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Guys namshukuru Mungu naendelea vizuri mpaka sasa.... nawashukuruni members wote na moderators wote ambao mlikua pamoja nami usiku mapaka sasa wengine bado mnaendelea kunifariji kuhakikisha naipata amani niliyokua naitafuta maana haikua rahisi pekeyangu kulipita hili ,,. Wengine mlienda mbali zaidi mkaacha shughuli zenu pamoja na uchovu wote wa siku nzima ya jana lakini kwa upendo wenu mliamua kukesha pamoja na mimi kwa maombi na maneno yenu nimefarijika sana... Sina cha kuwalipa ila tu nawaombea mda wenu mlioutoa kwangu usipotee bure,,, Japo ni wengi ila ningeweza kuwataja kwa majina,, lakini kama mlivyoamua kunifata na kunifariji sirini basi iendelee kua siri. Mungu awabariki sana na ninawapenda sana wote 🙏🙏🙏🙏
Mungu ni mwema sana
 
Guys namshukuru Mungu naendelea vizuri mpaka sasa.... nawashukuruni members wote na moderators wote ambao mlikua pamoja nami usiku mapaka sasa wengine bado mnaendelea kunifariji kuhakikisha naipata amani niliyokua naitafuta maana haikua rahisi pekeyangu kulipita hili ,,. Wengine mlienda mbali zaidi mkaacha shughuli zenu pamoja na uchovu wote wa siku nzima ya jana lakini kwa upendo wenu mliamua kukesha pamoja na mimi kwa maombi na maneno yenu nimefarijika sana... Sina cha kuwalipa ila tu nawaombea mda wenu mlioutoa kwangu usipotee bure,,, Japo ni wengi ila ningeweza kuwataja kwa majina,, lakini kama mlivyoamua kunifata na kunifariji sirini basi iendelee kua siri. Mungu awabariki sana na ninawapenda sana wote [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mwenyezi Mungu akulinde sana katika Jina la Yesu. Amina
 
Wakati mwingine ueleze ni changamoto gani unapitia, wakati wewe unaiona kubwa na kushindwa kosolve, kuna watu wanaweza kukusaidia.. jinsi ulivyowasilisha imesababisha na wengine tuwe na hofu!
Jitahidi ueleze hata kwa codes (ni mtazamo wangu)
 
pole sana mke wangu,damu ya yesu ikapate kukutakasa akili pamoja na moyo na moto wa roho mtakatifu ukapate kuunguza hila mbaya za muovu shetani katika jina la yesuuu!! Amen
 
Guys haijawahi kutokea mimi hadi wakati huu niwe macho, lakini leo imetokea ..
Nimeota ndoto mbaya sanaa, na kwa asilimia nyingi kama sio zote hii ndoto ina ukweli.,, naogopa jamani😭😭😭😭.. nimeamka nimesali rozali lakini bado nina wasiwasi nahisi kufa mwenzenu.
Incase msiponiona tena jukwaani mjue tu kuna jambo baya sana limenitokea, kwa wale wote ambao niliwakwaza kwa namna moja au nyingine naombeni mnisamehe sana,..please nahitaji maombi yenu sana
Naombeni msinitamkie maneno magumu cause nipo kwenye kipindi ambacho napambania amani ya moyo zaidi na sio kitu kingine chochote
Nawapenda sana
Kuota ndoto ndiyo uogope je ukipatwa na Jambo la kuachwa na mwenza wako halafu hujui alikoenda mpaka miezi mitano na zaidi utasemaje
 
Mara ya mwisho umenanihii ni lini?
Muda mwingine ni mechanism ya mwili kutaka kupunguzwa uzito🤣🤣 elewa neno uzito🤣🤣👆

Kiislamu ukiota ndoto mbaya unaomba dua Mungu akukinge na Shari ya hiyo ndoto, halafu usimsimulie mtu.....Unakumbuka Yusuf/Joseph alipoota, Baba yake alimwambia asisimulie ndugu zake.....wasije kumfanyia vitimbi, ingawa yeye ndoto yake ilikuwa nzuri.
Mamy K nakupenda.
 
Back
Top Bottom