Naombeni mnisaidie niwe Mzanzibari. Nina Degree, maisha yamekuwa magumu kwangu

Naombeni mnisaidie niwe Mzanzibari. Nina Degree, maisha yamekuwa magumu kwangu

Hata ukiwa Mzanzibari bado utajulikana ni Mzanzibari wa kuhamia sio wa damu ya kule itakuchukua miaka 50 kuajiriwa kule, hao unaosema wanamaisha mazur wanaconnection teyari, ni kama walivyo harafu unavyosikia wanaitana Oman, Saudia etc. Hivyo kupata utambulisho wa kule si sababu ya kufanya upate ajira.
Komaa na kaajira chako hako kakuze ili upate kumuajiri mtu kisha mnakuwa na mgawanyiko mzuri wa masaa, unalalamika kuhusu masaa wakati kuna wengine tunakatamani hata hako kaajira chako tukapate mtaani kugumu, kweli watu tumetofautiana sanaaaaa
 
Population ya wazanzibari sio kubwa sana na Wapemba wanaosoma ni wachache sana kwahyo kwenye kipengele cha ajira wenyewe ni kama kushuka mlima kitonga iwe kwa hapa Bara au kwao visiwani
Wacheni ujinga wapumbavu jiongezeni huku kuna Wazanzibar kibao wanasota msolijuwa ndio maana mkifika huku wengi wenu mnakua mashoga tilizeni mpira kwenu mna MADINI ,gesi DHAHABU,TANZANAIT, NGORONGORO ,MANYARA KILIMANJARO NK
Mnafeli wapi watanganyika?
Mmoja Sisi tunawafumua marinda tuu kazi iendelee
 
kiukweli wanajinoma, yani nawaonea wivu natamani na mimi ningekuwa wa huko, kazi za bara wana 21% na hata zikitoka huwa wanakuwa wachache kuikamilisha basi wanaajiriwaga kirahisi tu, pia na huko kwa wana ajira kwenye mashirika ya serikali ya Zanzibar.

Kwa ufupi ukiwa na elimu ya chuo + ukiwa mzenji ajira ni mteremko.

Kimbembe kipo huku sasa, degrees zipo kama yebo yebo, ushindani ni wa hali ya juu acha kabisa
Nyote milioni 60 mkija huku itakuwaje hebu kama vipi Sisi tupeni visiwa vya ukerewe nyinyi tuwape ZANZIBAR lkn amini nawambia baada miaka 20 mtaihama ZANZIBAR na mtajazana ukerewe ttzo Hamna akili washamba goigoi tegemez
 
Tusaidien tuwe wazanzibar
Nyinyi ndio chanzo cha umaskin ulioopo Zanzibar na bado tena mwaona hamjatosheka AKILI NDOGO HAIWEZ SHINDA NA AKILI KIBWA
#TUACHENI TUPUMUWE!
 
Wacheni ujinga wapumbavu jiongezeni huku kuna Wazanzibar kibao wanasota msolijuwa ndio maana mkifika huku wengi wenu mnakua mashoga tilizeni mpira kwenu mna MADINI ,gesi DHAHABU,TANZANAIT, NGORONGORO ,MANYARA KILIMANJARO NK
Mnafeli wapi watanganyika?
Mmoja Sisi tunawafumua marinda tuu kazi iendelee
Sio kosa lako ila ni kosa la umalaya wa Mama yako na kukuzaa nje ya ndoa
 
Nyote milioni 60 mkija huku itakuwaje hebu kama vipi Sisi tupeni visiwa vya ukerewe nyinyi tuwape ZANZIBAR lkn amini nawambia baada miaka 20 mtaihama ZANZIBAR na mtajazana ukerewe ttzo Hamna akili washamba goigoi tegemez
Nyie mnaosukumwa vichogo ndo hamna akili.

Ka Kisiwa kenyewe kadogo tu kama Mkoa wa Dar afu mnajikuta wajuaji, hamjui tukitaka kuwapoteza kambi moja tu ya Bulombora inawatosha
 
Tatizo sio Uzanzibari tatizo ni wewe mwenyewe ataukisaidiwa bado utafika Zanzibar na kuona wa Oman wa rika lako wanamaisha mazuri na wamefanikiwa utarudi apa kuomba msaada wa kupata uraia wa Oman kwa kuwa wana JF si wachoyo tutakupa tena mbinu lakini bado ukifika huko utaona Wahindi wa rika lako waliofanikiwa zaidi utarudi tena kuomba mbinu hapa JF na mchezo utakuwa ukizungua na kuzunguka
Hivyo jiboreshe mwenyewe pambana kipimo cha mafanikio si utaifa.
watu kama nyie ndio mnaitwaga madingilai wanoko
 
Mkuu mimi nachotaka ni ajira tu niweze kujikimu pia niwe na mda walau wa kupumzika hata masaa machache.

yani hapa nilipo nipo ofisini tangia saa moja nafunga saa tatu na nusu usiku. hii ni kila siku.

siku nyingine biashara inabuma hata msosi unakuwa shida.

Nina mwenzangu nae ni machinga ana degree yake, jua linampiga acha tu.

kuna kipindi naona wazikabisa kujiajiri ni utumwa.
Wewe hutokuja fanikiwa kamwe

Unaweza ajiriwa Ila uje ukutane na boss kichefuchefu utakoma kuringa

Utatamani urudi uliko toka

Shida yako wewe ni pesa sio ajira
 
Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh.

Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu.

kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri, sijakaa sawa kuna kodi ya frem, tra, halmashauri, n.k yani hali si hali jamani.

Nimeomba sana ajira sehemu mbali mbali na hata kufikia interviews lakini bahati haikiwa upande wangu maana kiukweli ushindani ni mkubwa sana.

katika kujuliana hali na wanafunzi wenzangu wengi walionizidi darasa, tuliosoma nao, n.k nimeona wahitimu wengi waliotokea zanzibar tayari washapata ajira na maisha yanapendeza, wengi tayari wamemudu kuwa na magari, makazi mazuri, familia, n.k wakiwa na umri mdogo kabisa.

Kiukweli wengi walikuwa na uwezo wa kawaida sana ila upepo safi umewapitia wana ajira, wengi wapo huku huku bara wachache wanafanyia Zanzibar.

Nimeona na mimi mnipe ushauri nifanye kitu gani nitambulike kama mzanzibari maana wanasema ukiwa karibu na waridi basi na wewe utanukia.

Ningependa mnisaidie kunipa mbinu niwe raia wa Zanzibar tafadhali.
Tatizo unachogo, sisi wazanzibar hua tuna wabonyeza wanetuu ili yasitoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asikuambie mtu zenji ni pagumu hasa kwa ishu ya ajira ..kuna ishu ya kujuana sana mbaya zaidi wazenji ni wabaguzi..mwaka juzi baada ya kupambana huku kutafuta ajira kwenye sekta ya afya nikawa naambulia kupata vibarua vyenye manyanyaso ya kufa mtu..ikabidi nijitose zenji....kitu cha kwanza kule wana leseni zao ambazo ni tofauti na za huku.... halafu ni ngumu kuaminika kama hujashikwa mkono kupelekwa na mtu wa kule..wazenji huwa hawawaamini wabara wanawaona kama mamburunyenge....ukiwa mkiristo popote pale wewe ni kafiri duhu...najisi mavi ya nguruwe.....
 
Ww kosa la umalaya WA kabila lako zima mnaokuja huku tukawf** kisha mkenda kujenga vibanda uko kwenu mtushukur mbwa mwitu nyinyi
Kwahyo haya matusi yote ni kisa mtoa mada amesema anataka kuja Zanzibar kutafuta kazi?

Au kuna lingine?
 
Wakati wa jiwe nilipigania sana niwe Raia wa Chato labda ningeotea fursa, nikafanikiwa kuwa raia wa Chato ila jiwe ndio likaenda na maji...

Dah kwa hiyo inabidi tena nipiganie kuwa Raia wa Zanzibara?
 
Back
Top Bottom