Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Nilitaka nishangae hizo ajira za Zanzibar ziwe kiwepesi hivyo...Uwe sio mwislamu, uwe huna ndugu kwenye position ya juu au sio mfanyabiashara unaetambulika hio kazi unaipata vipi?🤣Acheni uongo kule kuna kujuana sana.
Wacheni ujinga wapumbavu jiongezeni huku kuna Wazanzibar kibao wanasota msolijuwa ndio maana mkifika huku wengi wenu mnakua mashoga tilizeni mpira kwenu mna MADINI ,gesi DHAHABU,TANZANAIT, NGORONGORO ,MANYARA KILIMANJARO NKPopulation ya wazanzibari sio kubwa sana na Wapemba wanaosoma ni wachache sana kwahyo kwenye kipengele cha ajira wenyewe ni kama kushuka mlima kitonga iwe kwa hapa Bara au kwao visiwani
Nyote milioni 60 mkija huku itakuwaje hebu kama vipi Sisi tupeni visiwa vya ukerewe nyinyi tuwape ZANZIBAR lkn amini nawambia baada miaka 20 mtaihama ZANZIBAR na mtajazana ukerewe ttzo Hamna akili washamba goigoi tegemezkiukweli wanajinoma, yani nawaonea wivu natamani na mimi ningekuwa wa huko, kazi za bara wana 21% na hata zikitoka huwa wanakuwa wachache kuikamilisha basi wanaajiriwaga kirahisi tu, pia na huko kwa wana ajira kwenye mashirika ya serikali ya Zanzibar.
Kwa ufupi ukiwa na elimu ya chuo + ukiwa mzenji ajira ni mteremko.
Kimbembe kipo huku sasa, degrees zipo kama yebo yebo, ushindani ni wa hali ya juu acha kabisa
Nyinyi ndio chanzo cha umaskin ulioopo Zanzibar na bado tena mwaona hamjatosheka AKILI NDOGO HAIWEZ SHINDA NA AKILI KIBWATusaidien tuwe wazanzibar
Sio kosa lako ila ni kosa la umalaya wa Mama yako na kukuzaa nje ya ndoaWacheni ujinga wapumbavu jiongezeni huku kuna Wazanzibar kibao wanasota msolijuwa ndio maana mkifika huku wengi wenu mnakua mashoga tilizeni mpira kwenu mna MADINI ,gesi DHAHABU,TANZANAIT, NGORONGORO ,MANYARA KILIMANJARO NK
Mnafeli wapi watanganyika?
Mmoja Sisi tunawafumua marinda tuu kazi iendelee
Nyie mnaosukumwa vichogo ndo hamna akili.Nyote milioni 60 mkija huku itakuwaje hebu kama vipi Sisi tupeni visiwa vya ukerewe nyinyi tuwape ZANZIBAR lkn amini nawambia baada miaka 20 mtaihama ZANZIBAR na mtajazana ukerewe ttzo Hamna akili washamba goigoi tegemez
watu kama nyie ndio mnaitwaga madingilai wanokoTatizo sio Uzanzibari tatizo ni wewe mwenyewe ataukisaidiwa bado utafika Zanzibar na kuona wa Oman wa rika lako wanamaisha mazuri na wamefanikiwa utarudi apa kuomba msaada wa kupata uraia wa Oman kwa kuwa wana JF si wachoyo tutakupa tena mbinu lakini bado ukifika huko utaona Wahindi wa rika lako waliofanikiwa zaidi utarudi tena kuomba mbinu hapa JF na mchezo utakuwa ukizungua na kuzunguka
Hivyo jiboreshe mwenyewe pambana kipimo cha mafanikio si utaifa.
Wewe hutokuja fanikiwa kamweMkuu mimi nachotaka ni ajira tu niweze kujikimu pia niwe na mda walau wa kupumzika hata masaa machache.
yani hapa nilipo nipo ofisini tangia saa moja nafunga saa tatu na nusu usiku. hii ni kila siku.
siku nyingine biashara inabuma hata msosi unakuwa shida.
Nina mwenzangu nae ni machinga ana degree yake, jua linampiga acha tu.
kuna kipindi naona wazikabisa kujiajiri ni utumwa.
Tatizo unachogo, sisi wazanzibar hua tuna wabonyeza wanetuu ili yasitoke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh.
Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu.
kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri, sijakaa sawa kuna kodi ya frem, tra, halmashauri, n.k yani hali si hali jamani.
Nimeomba sana ajira sehemu mbali mbali na hata kufikia interviews lakini bahati haikiwa upande wangu maana kiukweli ushindani ni mkubwa sana.
katika kujuliana hali na wanafunzi wenzangu wengi walionizidi darasa, tuliosoma nao, n.k nimeona wahitimu wengi waliotokea zanzibar tayari washapata ajira na maisha yanapendeza, wengi tayari wamemudu kuwa na magari, makazi mazuri, familia, n.k wakiwa na umri mdogo kabisa.
Kiukweli wengi walikuwa na uwezo wa kawaida sana ila upepo safi umewapitia wana ajira, wengi wapo huku huku bara wachache wanafanyia Zanzibar.
Nimeona na mimi mnipe ushauri nifanye kitu gani nitambulike kama mzanzibari maana wanasema ukiwa karibu na waridi basi na wewe utanukia.
Ningependa mnisaidie kunipa mbinu niwe raia wa Zanzibar tafadhali.
Kwahyo haya matusi yote ni kisa mtoa mada amesema anataka kuja Zanzibar kutafuta kazi?Ww kosa la umalaya WA kabila lako zima mnaokuja huku tukawf** kisha mkenda kujenga vibanda uko kwenu mtushukur mbwa mwitu nyinyi