Naombeni mnishauri katika hili

Naombeni mnishauri katika hili

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Mwaka 2019 January nilimpangisha mtu kwenye nyumba yangu, akaniahidi kunilipa kodi baada ya wiki, nikamkubalia, lakini wiki ilipokwisha hakulipa akaomba alipe mwisho wa mwezi, nikasema sawa.

Kilichoniumiza, mwisho wa mwezi akaenda kwa wapangaji wenzake akawadanganya kuwa nimemtuma akusanye kodi kwa wote aniletee, alipopewa Tshs 3,000,000 akatoroka nazo! Nilipokwenda kufuatilia kodi nikaambiwa alisema nimemtuma akusanye kodi aniletee kumbe mwongo, wapangaji wenzake wakanambia ana wiki hajaonekana na simu yake haipo hewani.

Leo nipo Mikumi, nimeona jina lake kwenye kitabu cha wageni kwenye lodge niliyofikia, ila kwenye hilo jina ameanza na Mchg.

Je, naweza kuwashirikisha wale jamaa wenye kofia bapa? Nawezaje kulifanya hilo bila kujiathiri mwenyewe, maana rb nilisha missplace sikumbuki ilipo.
 
Nenda kachukue RB nyingine fasta hapo Magomeni, chukua na askari kabisa

R.B ndo ingekuwa poa sana ungekuwa nayo ....chakufanya jaribu kuzungumza na hao jamaa wenye kofia uone nao watakushauri nni ....maana pia kumkamata mtu bila ushahidi inakuwa ngumu
 
Una kithibitisho gani kwamba wapangaji wako wametoa hizo pesa 3M? Wapangaji gani wanampa mtu yeyote kodi , kwamba wenyewe Ni mazwazwa kiasi hicho?Hawajiulizi kitu wanatoa tu?
Na wote wakatoa pasipo kujiridhisha kiushahidi wa maelezo
 
As
R.B ndo ingekuwa poa sana ungekuwa nayo ....chakufanya jaribu kuzungumza na hao jamaa wenye kofia uone nao watakushauri nni ....maana pia kumkamata mtu bila ushahidi inakuwa ngumu
Asante Mkuu
 
Back
Top Bottom