Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Hizi Ev na umeme wetu wa kukatika wiki zitakua rafiki kweli kwa mazingira yetu?!
Zikisha hit soko vizuri utaona watu wanavyokazana kuzinunua yani๐Ÿ˜…! Kama IST hivi.

Kinachowachelewesha Toyota kuna mabetri wanatest sahizi yakikaa vizuri ndio wayaingize kwenye production. Yani gari ziwe na range kubwa! Ukipata gari ambayo itakupa hata kilometre 500 kwa single charge sio mbaya!

Mfano unatumia unit 50 kujaza gari lako umeme ni kama elfu 20 tu! Ila utatembelea 500km means ni kama week nzima huoni huo kama ni unafuu mkubwa sana kwenye uendeshaji? Pili hamna gharama za kubadili oil na filter! Brake pad zinachukua muda sana kubadilishwa sababu hazitumiki muda wote.

Gari uendeshaji utakuwa na unafuu mkubwa sana.
 

Kwa hesabu hizi mbona wengi tutanunua kikubwa tuombe Mungu huku zifike!
 
Kwa hesabu hizi mbona wengi tutanunua kikubwa tuombe Mungu huku zifike!
Na sio tu kufika wale mashetani wenye ofisi pembeni ya bahari wasije wakamechisha bei za gari toka japan na gharama za clearance! Au wakafanya ziwe mara 2 maana gari hazitanunulika๐Ÿ˜…
 
Na sio tu kufika wale mashetani wenye ofisi pembeni ya bahari wasije wakamechisha bei za gari toka japan na gharama za clearance! Au wakafanya ziwe mara 2 maana gari hazitanunulika[emoji28]

Wale wapumbavu ndio wanaofanya watu wasimiliki magari shenzi kabisa![emoji1787]
 

Haya mambo ya kukatika fuse ulale porini, Kiupande fulani siyo sawa.

Gari huwa inakuwa na spare fuse mkizitumia huwa hamnunui zingine?

Okay hauna spare fuse, Katika fuse zote zilizopo kwenye gari hamna fuse inaingiliana na hiyo iliyoungua?

Kachomoe fuse yoyote ambayo ni less important chomeka then endelea na maisha.
 

Gari yoyote inakulaza porini.

Carina inayotajwa hapa ilishatulaza Mbugani, Mikumi.
 
Wacha we..... sawa sawa mkuu. Na sensor tunatakiwa tununue reserve sio?
 
Hamna gari ambayo ina upuuzi kama Range Rover ama Euro makes! Usifikirie akili za mjapani unaweza kuztumia mule au janja janja yeyote ile๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…!

Gari inafanya kazi in coordination na vitu vyote na tena vinakuwa na module ya ku control! Ukikata fuse moja tu gari zima hali function sababu kuna kitu hakipo sawa๐Ÿ˜‚

We unafikiri ni kama mjapani utachomoa fuse ya honi upachike kwenye AC?
 

RR nimerekebisha...

Euro makes zote zinakuwa na fuse mfano ya ECU, hiyo ikikata hata dashboard haiwaki...

But lazima kunakuwa na spare fuse au fuse nyingine ambayo inafanana na hiyo kwenye mfumo mwingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ