Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Zikisha hit soko vizuri utaona watu wanavyokazana kuzinunua yani😅! Kama IST hivi.Hizi Ev na umeme wetu wa kukatika wiki zitakua rafiki kweli kwa mazingira yetu?!
Kinachowachelewesha Toyota kuna mabetri wanatest sahizi yakikaa vizuri ndio wayaingize kwenye production. Yani gari ziwe na range kubwa! Ukipata gari ambayo itakupa hata kilometre 500 kwa single charge sio mbaya!
Mfano unatumia unit 50 kujaza gari lako umeme ni kama elfu 20 tu! Ila utatembelea 500km means ni kama week nzima huoni huo kama ni unafuu mkubwa sana kwenye uendeshaji? Pili hamna gharama za kubadili oil na filter! Brake pad zinachukua muda sana kubadilishwa sababu hazitumiki muda wote.
Gari uendeshaji utakuwa na unafuu mkubwa sana.