Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?


Toyota ndio nimeona anatumia fuse za aina mbili. Yale makubwa na tule tudogo.

Kwa RR nimekutana na L322 na L405...

RR inafuse box 3.... Ila fuse box yenye fuse nyingi ni ile ya mbele ndani kwenye glove box... Lakini fuse zake zote zinafanana kwa size.... Tofauti labda ipo kwenye current.... Lakini lazima upate fuse walau mbili tatu ambazo zinafanana kwa kila kitu.
 



RR L322

Hebu mtu anioneshe hapo fuse ambayo ina current rating ya pekeyake...

Plus spare fuse zinakaa kwa pale juu.
 
Tatizo hizo teknolojia zinavyozidi kwenda mbele ndio umayai unazidi, sidhani kama zitakuwa roho ya paka kama hizi tunazovimva nazo za mwaka 1990 mpaka 2000s, unaweza dumbukiza ev kwenye dimbwi ndio inapiga shoti unaambiwa ibadilishwe mfumo mzima, na mafundi wetu ukiwafuata wanakuambia tatizo hii inatumia umeme mwingi😆
 
Fear of the unknown wakati mwingine hushawishi kitu cha kufanya, prestige hali kadhalika. Prestigious people wapo na wataendelea kuwepo, Premium pricing ipo, highly knowledgeable buyers wapo and the opposite, durability, fuel consumption, managing spare parts and maintenance cost, ROLE of influencers on decisions.

Open for thoughts, learning is expensive but regrets are deadly.

I submit with no synchophant claim.
 
Basi utulie mama.....
kaa kwa kutulia
Umekosa sana heshima kwa binadamu wenzako. Wewe ndo jitathmini kisha utulie.

Umekurupuka tu ooh, mm nikikuona na hiyo gari nakutongoza🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Aliyekuambia natumia hiyo gari ni nani? Tulia na Jifunze kuheshimu binadamu wengine.
 
Nakuheshimu sana mama shkamoo
 
🤣🤣🤣 migari ya kizungu ni ya kupigia picha tu. Nashangaa baadhi ya watu wanavyoshoboka humu
 
Mjerumani akianza kuchoka utakuta dashboard inameremeta kama mti krismas hapo lazima kichwa kiume hasa kama una hela ya mawazo
 
Mjerumani akianza kuchoka utakuta dashboard inameremeta kama mti krismas hapo lazima kichwa kiume hasa kama una hela ya mawazo
Na ndo maana nyingi zinakufa engine au gear box cause marekebisho kdg ambayo Ni sensitive Ni gharama Sasa mtu analiburuza hivo hivo mwsho wasiku linakufa wanayatupa kwa mil2 - 3
 
Hii gari kwangu mimi haina mvuto siwezi kung'oa demu kizembe zembe na carina road
kila mtu ananunua gari kwa malengo flani
ndio sababu huwezi kuta "bishoo" anamiliki hii gari.

wewe chunguza sura au kaliba za wanaomiliki toyota carina, wazungu wanasema matured. Uliwahi kujua kitambo kidogo kabla ujio wa piki piki aina ya boxer, hizi gari ndio zilikua za "wazee wa kazi"? Jiulize kwanini hehehehe.

Nyie wa Alteza, Brevis, Crown na nyinginezo endeleeni kutunyoosha highways kwa maana sisi tunawasubiria pale lami inapoishia hasa nje ya miji.
 
Wasikutishe kwamba watakunyoosha highway hasa huyu alteza . Kumbuka zote maximum speed ni 180kmh utofauti ni muda gari inatumia ku attain hiyo speed... (Duration to attain a certain speed, kifupi tuseme acceleration) kutokana na ukubwa injini probably na how fast gearbox is shifting gears these mentioned cars can accelerate very fast to attain their maximum speed limit. Lakini hata wewe wa carina unaweza kuwakimbiza vilevile unless huna confidence.. kumbuka gari inaweza kua na injini kubwa but body weight ikalifanya lichelewe kuchanganya.. so unaweza kuta crown ina accelerate fast lakini na wewe wa carina ukampita mtu wa crown at the beginning kwakua body weight yako ni ndogo... So mambo ya acceleration na maximum speed yapo very subjective kwenye magari..

Unaweza shangaa mtu ana vitz ya 1.3L na gearbox ya CVT akakunyoosha wewe na alteza yako tehtehteh.. kwahiyo bwana usiwe mnyonge.

Note;you want reliable, predictable, durable, dependable, easy to fix, bullet proof, budget car go for TOYOTA, the rest are piece of junk and money pits..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Probox shape yake sio kabisa...Carina ina muonekano flani mzuka sana.
Carina ni gari nzuri sana ikiwa comfortability siyo issue. Changamoto ni bei zake kubwa, wakati mwingine zinaendana bei au kuzizidi SUV hasa zikiwa kwenye grade nzuri.
 
90%
 
Corolla unaweza ukaamua tu kuipeleka garage hata kama sio mbovu..ili mradi walicheki cheki tu..laki tano unaeza ukaifunga huko chini kusitoe hata mlio mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…