Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Mkuu mie pia nali toyota naburuza na haya mamvua madimbwi kibao nawaza je ingekuwa BMW si ningekuwa nishanunua mwamvuli sahizi[emoji28] natembea nao.

That rig wont break inanisevu sana na still inadai service kuna bush imechoka on the right front wheel inagonga ila it keeps going anytime from now ntabadilisha. Sina presha maana haitatokea gari igome kwenda.

Ukiangalia namba A corrolla zimefubaa mabodi ila gari ikiwashwa ni jino moja tu[emoji28]. Ntaftie BMW ambayo ilinunuliwa same year na Corrolla mbona hatuzioni barabarani?
Mkuu hizo Gari za mzungu watu wakinunua wanajipaga matumaini kwamba Ni ngumu na hazitawasumbua na vifaa vinapishana bei kdg na Toyota hawajui kwamba Gari hizo Ni used Sio new na Gari used matatzo hayakosi na matengenezo yao Ni bei Sana so at the end unakuta Gari inamattzo makubwa Kama 20 at the end of the day analiendesha hivo hivo engine au gearbox inakufa ndo kwishahabari..
 
Inunue mkuu😅 huenda ni kweli zina wapenzi maana naziona nyingi sana!
Inategemea anaiuza bei gani, hizi zinauzika maana hata mm nimezitumia. Nimetumia mbili moja nilinunua kwa mtu aliiagiza 0km from south Africa akaitumia tumia nikaichukua, nyingine nilinunua used.

Ukiagiza mpaka inafika approx 15m kutegemeana na Km na mtandao. Hii used na mm niliuza ila ile ya south ninayo. Hazina shida hizo gari sema kazi kuitunza.
 
Mkuu hizo Gari za mzungu watu wakinunua wanajipaga matumaini kwamba Ni ngumu na hazitawasumbua na vifaa vinapishana bei kdg na Toyota hawajui kwamba Gari hizo Ni used Sio new na Gari used matatzo hayakosi na matengenezo yao Ni bei Sana so at the end unakuta Gari inamattzo makubwa Kama 20 at the end of the day analiendesha hivo hivo engine au gearbox inakufa ndo kwishahabari..
Hahahahahahah yani Toyota ikiwa na matatizo mengi utakuta ni shockup mounting na bush tena ikiwa jamii ya corrola hapo ukijipiga walau na ka laki 6 unaenda nyofoa vyote vibovu unapachika vipya unakuta umesolve 80% ya matatizo kama sio 100%!

Mjerumani akiwa na similar issues kwanz gari inaweza ikawa imegoma kutembea😅 kabisa! Kama inatembea basi dashboard imependeza. Kwenda kufuta majanga yote na repairs ukichapishiwa mkeka unaweza ukasema acha ipaki tu ntatumia ist!
 
Hahahahahahah yani Toyota ikiwa na matatizo mengi utakuta ni shockup mounting na bush tena ikiwa jamii ya corrola hapo ukijipiga walau na ka laki 6 unaenda nyofoa vyote vibovu unapachika vipya unakuta umesolve 80% ya matatizo kama sio 100%
Laki 6 unamaliza kila kitu kwenye corolla. Wakati kuna siku safarini bering ilikata moja nikaagiza laki tatu na nikalala hapo ilipokatikia. Aisee Toyota aheshimiwe tu
 
Inategemea anaiuza bei gani, hizi zinauzika maana hata mm nimezitumia. Nimetumia mbili moja nilinunua kwa mtu aliiagiza 0km from south Africa akaitumia tumia nikaichukua, nyingine nilinunua used.

Ukiagiza mpaka inafika approx 15m kutegemeana na Km na mtandao. Hii used na mm niliuza ila ile ya south ninayo. Hazina shida hizo gari sema kazi kuitunza.
Kwa haya maelezo unaonekana una ahueni ya maisha mkuu! Huungi ungi yani una steady income.

Ukiwa na steady income ilioshiba hamna gari itakushinda. Imagine una uhakika wa kunyofoa 1M ukaitupia anytime gari imekula filters na oil kali mara umerekebisha gasket n oil leaks kibabe ila kwa hustler wa mtaa hio gari ni mziki!
 
Laki 6 unamaliza kila kitu kwenye corolla. Wakati kuna siku safarini bering ilikata moja nikaagiza laki tatu na nikalala hapo ilipokatikia. Aisee Toyota aheshimiwe tu
Hahahaha sasa unaona ilivyo balaa yani unalala barabarani na unapigwa na kitu kizito kichwani😅 wakati bearing ya corrolla ukitaka ile genuine ni 80K za kubumba 35K na zipo kokote ambako gari za corrolla zimefika.
 
Mkuu kwenye uhalisia huwa napenda kuwa muwazi tu japo wana wanaponda[emoji28] mie mjerumani labda itokee tu ila huku Toyoda ndio home! Mjerumani nunua kama una hela za kuzidi ila kama raia wa kawaida usikimbilie humo!

Hio gari nimeona watu wameinunua sana yani sikujua ina nini special. Hebu nipe mazuri yake ukiachana na costly maintanance maana kama filter 80K ukinunua na Liqui Moly ya 120K manaake service ya oil na filter kila wakati ni 200K!

Mkuu kwa safari hii gari uta ipenda!Ni nzito ina balance na kisahani speed ni 240 kmph ubaya ni kwenye kuihudumia mfano juzi brake pad nimenunua 180k full sate!Ila hata ulaji wa mafuta iko poa tu kana Cc 1500.
IMG_1642.jpg
 
Kwa haya maelezo unaonekana una ahueni ya maisha mkuu! Huungi ungi yani una steady income.

Ukiwa na steady income ilioshiba hamna gari itakushinda. Imagine una uhakika wa kunyofoa 1M ukaitupia wakati gari imekula filters na oil kali mara umerekebisha gasket n oil leaks kibabe ila kwa hustler wa mtaa hio gari ni mziki!
Hamn mkuu, maisha ya wenye uwezo wa kununua gari ni yaleyale sema unajua kila mtu na ulevi wake. Mwingine atahonga laki 2 kwa mwezi na haumii ila kutoa elf 80 ya filter itamuuma. Inategemeana tu na ulevi wako. Mwingine ana corolla ila ana maviwanja kila kona, mwingine kuvaa na perfume za laki 5....
 
Mkuu kwa safari hii gari uta ipenda!Ni nzito ina balance na kisahani speed ni 240 kmph ubaya ni kwenye kuihudumia mfano juzi brake pad nimenunua 180k full sate!Ila hata ulaji wa mafuta iko poa tu kana Cc 1500.View attachment 2039118
Kanamaliza lakini hizo 240kph au hujawahi kutest mitambo😅?

Yah ubaya wa mjerumani ndio hapo tu kututandika na vitu vizito kichwani..Yani unakuta service ndogo kama hio kwa toyota pads ukinunua lets say front na rear ni 70K tu vibox viwili!

Sema upcoming Toyota zitakuwa equipped na anti-roll bars na sababu ya EV batteries kulazwa flat zitakuwa na stability sana tu.
 
Kanamaliza lakini hizo 240kph au hujawahi kutest mitambo[emoji28]?

Yah ubaya wa mjerumani ndio hapo tu kututandika na vitu vizito kichwani..Yani unakuta service ndogo kama hio kwa toyota pads ukinunua lets say front na rear ni 70K tu vibox viwili!

Sema upcoming Toyota zitakuwa equipped na anti-roll bars na sababu ya EV batteries kulazwa flat zitakuwa na stability sana tu.

Kusema ukweli nimeishia hapo kwenye 220 hiyo yenyewe unahisi kama ndege!sitaki ata kumaliza coz barabara zetu zenyewe sio rafiki!Ile Corolla G brake pads original ni 25k tu yaaan aliye gundua toyota Mungu ambariki[emoji23]
 
Hahahahahahah Toyota itabaki kuwa gari rafiki kwa Mtanzania wa kawaida kwa miaka mingi tu! Toyota ni rahisi sana maintanance yake yani ukilishindwa wewe usinunue gari tena!

Maybe EV Cars zitapoteka soko ndio pengine atatokea mshindani! Maana Tesla anataka aunde ya Bei rahisi around 20,000 usd!
 
The worst thing about bmw is used bmw
 
Hahahahahahah Toyota itabaki kuwa gari rafiki kwa Mtanzania wa kawaida kwa miaka mingi tu! Toyota ni rahisi sana maintanance yake yani ukilishindwa wewe usinunue gari tena!

Maybe EV Cars zitapoteka soko ndio pengine atatokea mshindani! Maana Tesla anataka aunde ya Bei rahisi around 20,000 usd!

Hizi Ev na umeme wetu wa kukatika wiki zitakua rafiki kweli kwa mazingira yetu?!
 
Yani ni uzembe wa hali ya juu sana kujadili Carina Ti/ Rav 4 Old model 1990!
Jman sasa hivu tunaangalia SUV AMBAYO inayotumia mafuta vizur zaid N iwe durable.
Mambo ya kujadili gar za miaka ya nyima zishapitw na wakat.
Eti utakta mwanaume anandesha old model Vits, carina, premior ata ukipark somewhere hakuna mtu anapay Attention kwako.Kasheshe utakapokwama sasa let say unahitaj mkopo wa dharula then unawega gar dhamana ndipo utakapojua kuwa gari unayomiliki ni ya kibwege.

Zungumzien SUV CARS kama hizi na zinginezoView attachment 1970427View attachment 1970428View attachment 1970429View attachment 1970430
wewe una gari gani?
 
Back
Top Bottom