Naombeni msaada kuhusu Open University

Naombeni msaada kuhusu Open University

Gogwa

New Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
2
Reaction score
1
Ndg wanajamii Nna mpango wa kusoma open university ya education economics na geogy lkn cna uhakika kuw ntakapomalza degree wizara itantambua kama mwalm sawa na fresh from university ama vp na je uthaman wa degree ya open uko vp ktk suala zma la ajira? ukilngansha na wale wa fresh from universty msaada jaman kwa wale wenye uzoef
 
Open University siku hizi ni kama vyuo vingine kwan kuna fresh from form six wanapangwa na TCU na boom wanapata kama kawaida. Wewe apply kama unavigezo ukafanye elimu mkuu...!!
 
Usipepese macho wala maskio! Kakamue mjombaa,, m nilipata gamba langu hapo na ninakazi fresh tu!! Kwenye interview niliwaggalagalaza kibao wa vyuo vyenu vya kata!! Sema unatakiwa uwe na ubongo unaojitegemea,
 
The best University in Tz... Kasome, ukimaliza utakuwa sokoni zaidi hata ya hao wengine... Nakumbuka pale chuon kwetu nliona watu wa BAEd walitumia sana madesa ya OUT...
 
Usipepese macho wala maskio! Kakamue mjombaa,, m nilipata gamba langu hapo na ninakazi fresh tu!! Kwenye interview niliwaggalagalaza kibao wa vyuo vyenu vya kata!! Sema unatakiwa uwe na ubongo unaojitegemea,

Kaka naomba nitafute unishauri kuhusu open,,,,mm mwenyewe nimechaguliwa mwaka huu na programme yetu ni mpya, namba yangu ni 0784391038
 
Mfumo wa shule ya Open University unatoa fursa ya kutoa Graduates vichwa......si wavizia vitini vya mwalimu na kuchomokea humo humo ...............
 
Mimi nimesome vyuo vyote fresh from school na Open university.ki ukweli huwez kufananisha Mwanachuo aliyemaliza Open na wa vyuo vingine.pale Open nilipiga LLB na ni clossed exams hivyo unatakiwa usome sana .anayekutungia mtihani humjui na anayekusahihisha humjui hivyo ukimaliza pale unaiva ipasavyo.
 
Kaka naomba nitafute unishauri kuhusu open,,,,mm mwenyewe nimechaguliwa mwaka huu na programme yetu ni mpya, namba yangu ni 0784391038

Kitu cha kufanya register kozi yako, kakusanye material yako ya kusoma, then tafuta wanaosoma kozi kama yako, pangeni siku za kukutana kufanya discussion.. Utashangaa mambo yanavyotiririka!!
 
Back
Top Bottom