Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

Bmw m5

Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
73
Reaction score
95
Salaaam ndugu zangu wa JF.
Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo.
Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano..

Kabla ya kukutana nilikua nimempanga kuwa tutakua wote usiku wa siku hyo na yeye aliridhia, sasa tukiwa kwenye mzagamuo nikiwa nakaribia ejaculation ghafla mpira ukapasuka na ni kama sekunde 2 na mm nikamwaga, kwahy kipisi kimoja cha mbele ya mpira kikaingia kwa bibie, huku kingine kikibaki kwangu...

Kiukweli tukio hili lilinifikirisha sana baada ya hapo hata mudi ikakata kabisa sio tu kwa upande wangu hata kwa bibie pia, inshort usiku wetu wa kuwa pamoja uliishia hapo..yeye kwa upande wake akawa na hofu akahisi kama nimemfanyia makusudi ila nikajaribu kumuweka sawa akaelewa.

Baada ya hapo, maisha yakaendelea, me nikawa naanza kusahau kuhusu ilo tukio nikawa sawa tuu, hadi tarehe 6 nikahisi kama mwili hauko sawa, nikawa nahisi homa basi nikaenda dispensary nikafanya vipimo vya uti, typhoid na malaria..majibu yakatoka nina typhoid, hivyo nikanunua dawa nikatumia hadi sasa niko sawa.

Sasa, baada ya kukaa sawa nikawa nahic huenda nina ugonjwa wowote wa zinaa ukizingatia na lile tukio japokua hakukua na dalili zozote zinazoashiria ugonjwa wowote, hivyo nikawa ni mtu wa stress sana, kuanzia wiki iliyopita..
Sasa ikabidi tu nikafanye vipimo vya HIV, ila nikakuta niko sawa, hapo nikatulia moyo ukawa na amani kwa muda, lakini bado nikawa siamini nakuwa kama najistukia hivi kila mara nafikiria vitu vingi sana kuhusu afya yangu ijapokua hakuna mabadiliko yoyote kwangu...
Sasa jana nilikutana na huyo binti nikamuelezea kuwa sina amani toka tukio na usiku ule na pia hata yeye ni vivyo hivyo kwa upande wake,..hivyo nikamuomba leo tukafanye vipimo kwa upande wake ili niwe na amani..

Hili tukio limekuwa likijirudia kila wakati kwenye kichwa changu ndugu zangu...naombeni msaada wa mawazo, lakini pia wenye experience na mikasa kama hii karibuni tushare pamoja...

Nitawapa mrejesho wa vipimo hapo baadae
 
Nguvu zinatumika shamba af kwanini uwaze? unajua maambukizi ya HIV yanavyo sambaa?
ndio nafahamu, ila kwakuwa sio tukio la kawaida lazima linipe mawazo, japokua sikuendelea kavu baada ya kupasuka mkuu
 
Hauna tatizo lolote hayo ni mawazo tu
 
Acha Zinaa.
20240902_114346.jpg
 
ndio nafahamu, ila kwakuwa sio tukio la kawaida lazima linipe mawazo, japokua sikuendelea kavu baada ya kupasuka mkuu
Embu kula ushibe fanya kazi ukimwi sio ugonjwa now ukipata unachoma zako sindano usiangaike na kumeza dawa kila siku
 
Akili unavyoilisha kila siku, kila mara ndo itakavokuwa na kuzoea......

Ondoa shaka, mawazo hasi maadam umeshapata vipimo kuwa na amani usije pata woga zaidi.....

Jifunze kuvaa kondomu kwa usahihi...... Epuka kutumia nguvu sana wakati wa tendo......
 
nashukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom