Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishika naipeleka wapi au naifanyia nini?Kwann mkuu..?
Ukikuta na yeye hana ukimwi muoe na wote muache uzinziSalaaam ndugu zangu wa JF.
Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo.
Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano..
Kabla ya kukutana nilikua nimempanga kuwa tutakua wote usiku wa siku hyo na yeye aliridhia, sasa tukiwa kwenye mzagamuo nikiwa nakaribia ejaculation ghafla mpira ukapasuka na ni kama sekunde 2 na mm nikamwaga, kwahy kipisi kimoja cha mbele ya mpira kikaingia kwa bibie, huku kingine kikibaki kwangu...
Kiukweli tukio hili lilinifikirisha sana baada ya hapo hata mudi ikakata kabisa sio tu kwa upande wangu hata kwa bibie pia, inshort usiku wetu wa kuwa pamoja uliishia hapo..yeye kwa upande wake akawa na hofu akahisi kama nimemfanyia makusudi ila nikajaribu kumuweka sawa akaelewa.
Baada ya hapo, maisha yakaendelea, me nikawa naanza kusahau kuhusu ilo tukio nikawa sawa tuu, hadi tarehe 6 nikahisi kama mwili hauko sawa, nikawa nahisi homa basi nikaenda dispensary nikafanya vipimo vya uti, typhoid na malaria..majibu yakatoka nina typhoid, hivyo nikanunua dawa nikatumia hadi sasa niko sawa.
Sasa, baada ya kukaa sawa nikawa nahic huenda nina ugonjwa wowote wa zinaa ukizingatia na lile tukio japokua hakukua na dalili zozote zinazoashiria ugonjwa wowote, hivyo nikawa ni mtu wa stress sana, kuanzia wiki iliyopita..
Sasa ikabidi tu nikafanye vipimo vya HIV, ila nikakuta niko sawa, hapo nikatulia moyo ukawa na amani kwa muda, lakini bado nikawa siamini nakuwa kama najistukia hivi kila mara nafikiria vitu vingi sana kuhusu afya yangu ijapokua hakuna mabadiliko yoyote kwangu...
Sasa jana nilikutana na huyo binti nikamuelezea kuwa sina amani toka tukio na usiku ule na pia hata yeye ni vivyo hivyo kwa upande wake,..hivyo nikamuomba leo tukafanye vipimo kwa upande wake ili niwe na amani..
Hili tukio limekuwa likijirudia kila wakati kwenye kichwa changu ndugu zangu...naombeni msaada wa mawazo, lakini pia wenye experience na mikasa kama hii karibuni tushare pamoja...
Nitawapa mrejesho wa vipimo hapo baadae
Where there is pleasure there is always a danger.Salaaam ndugu zangu wa JF.

Hili tukio limekuwa likijirudia kila wakati kwenye kichwa changu endugu zangu...naombeni msaada wa mawazo, lakini pia wenye experience na mikasa kama hii karibuni tushare pamoja...
Nitawapa mrejesho wa vipimo hapo baadae
exactly mkuu...umeongea ukweli kabisaa🙏Wewe unakosa amani na Raha kwa sababu una roho ya huzuni inayotaka utubu
Huzuni ya Mungu hupelekea Toba inayoleta wokovu!
Tunu bro! Achana na kuzagamuana, tafuta hela. Tafuta mke tulia kwenye ndoa!
Yaaani ukute kwa familia uliyokulia na mambo unayofanya hata huendani nayo
Acha ujinga ,sasa kama ushapima huna HIV una stress za nini?acha utoto.Salaaam ndugu zangu wa JF.
Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo.
Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano..
Kabla ya kukutana nilikua nimempanga kuwa tutakua wote usiku wa siku hyo na yeye aliridhia, sasa tukiwa kwenye mzagamuo nikiwa nakaribia ejaculation ghafla mpira ukapasuka na ni kama sekunde 2 na mm nikamwaga, kwahy kipisi kimoja cha mbele ya mpira kikaingia kwa bibie, huku kingine kikibaki kwangu...
Kiukweli tukio hili lilinifikirisha sana baada ya hapo hata mudi ikakata kabisa sio tu kwa upande wangu hata kwa bibie pia, inshort usiku wetu wa kuwa pamoja uliishia hapo..yeye kwa upande wake akawa na hofu akahisi kama nimemfanyia makusudi ila nikajaribu kumuweka sawa akaelewa.
Baada ya hapo, maisha yakaendelea, me nikawa naanza kusahau kuhusu ilo tukio nikawa sawa tuu, hadi tarehe 6 nikahisi kama mwili hauko sawa, nikawa nahisi homa basi nikaenda dispensary nikafanya vipimo vya uti, typhoid na malaria..majibu yakatoka nina typhoid, hivyo nikanunua dawa nikatumia hadi sasa niko sawa.
Sasa, baada ya kukaa sawa nikawa nahic huenda nina ugonjwa wowote wa zinaa ukizingatia na lile tukio japokua hakukua na dalili zozote zinazoashiria ugonjwa wowote, hivyo nikawa ni mtu wa stress sana, kuanzia wiki iliyopita..
Sasa ikabidi tu nikafanye vipimo vya HIV, ila nikakuta niko sawa, hapo nikatulia moyo ukawa na amani kwa muda, lakini bado nikawa siamini nakuwa kama najistukia hivi kila mara nafikiria vitu vingi sana kuhusu afya yangu ijapokua hakuna mabadiliko yoyote kwangu...
Sasa jana nilikutana na huyo binti nikamuelezea kuwa sina amani toka tukio na usiku ule na pia hata yeye ni vivyo hivyo kwa upande wake,..hivyo nikamuomba leo tukafanye vipimo kwa upande wake ili niwe na amani..
Hili tukio limekuwa likijirudia kila wakati kwenye kichwa changu ndugu zangu...naombeni msaada wa mawazo, lakini pia wenye experience na mikasa kama hii karibuni tushare pamoja...
Nitawapa mrejesho wa vipimo hapo baadae
kama ni wa kuukwaa hata upime kwa darubini huchomoki, just play safe sio unakamia kama ndo unataka kufauna pima kwa macho..? au una mpenzi mmoja? au unapima kabla ya kukutana nae?
nitumie location leo nataka nije tukiwashe mshikaji wangu wa maana kabisa LamomyJF wawekee jukwaa la washamba wote ili tukifungua uzi tujue kabisa tumeingia jukwaa gani?
tatizo haujanyooka😹😹😹 pouwa mwanangu