Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

Kwanza mkuu pole sana.
Pili uache zinaa wakati mwingine.
Tatu njoo nikupe ushauri wa hiyo hali inayokusumbua.
 
mshahara wa dhambi ni mauti acha uzinzi,uasherati, neno la Mungu linasema katika kitabu cha Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. sasa wewe umeiangamiza nafsi yako hutapata amani wapi naomba utubu dhambi zako mrudie muumba wako
 
nashukuru sana mkuu
 
Ulikua una shindana na shimo ambalo as long as lina utelezi uwezi lishinda ? any way hali yako niya kawaida kwa sababu una uoga.
Siku nyingine usi t*mbe demu usie muamini utakufa kwa mawazo hata amna raha kut*mba demu unae muhofia
 
Yeah..nimejifunza chief..
 
Mkuu usihofu condom kupasuka na ukatoa uume sio issue ya kukufanya upate hiv,nilikuwa na historia mbaya huko nyuma matukio ya hivi yalinitokea mengi hata kwa wanawake wa kujiuza still nipo mzima. Kwa kifupi huwezi pata hiv hivyo.
 
nashukuru chief...ni hofu tu, ila najiona niko poa mkuu,nitakua makini zaidi
 
Hao wanawake mnaowaigopa hivyo wa nini sasa? Mkome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…