Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Uraibu ni mmbaya sana!Imagine ni mtoto wako kaingia janga hili usiwe na roho mbaya mimi hata maisha siyafurahii nimejieleza ili kama kuna mtu alishayashinda haya niambie na mimi nitoke hapa shimoni
Kama unanisoma kichwani mimi niko na hulka hiyo sikubali kushindwa lolote, mimi nilipokuwa na umri mwa miaka 21 nilikua najitegemea kwa kila kitu nyumba gari na biashara ninayo tena nikiwa chuo kikuu...Kama sijakosea wewe ni mtu ambae shuleni ulikua na akili, ulifaulu vizuri masomo yako hasa hesabu na masomo ya sayansi. Pia uko vizuri kwenye mambo ya biashara.
Watu kama nyie kinachowasumbuaga ni kudhani kwamba hakuna kitu kinachoweza kukushinda! Sasa mkikutana na changamoto suluhisho lenu hua ni kutaka kupambana mpaka wewe ndio ushinde (kama ambavyo ulikua unapambana na swali darasani mpaka uli solve)
Sasa tambua AI ni system imetengenezwa kuhakikisha kwamba inaingiza hela kuliko inavyopoteza. Ukishindana nayo utaishia kuwa masikini. Kubali kwamba hapa duniani kuna vitu huviwezi, na achana navyo.
So its a demon huh!? I think so.I have been tormented by temon of kamari kama were.
Wish waifungie Kwa utimamu wangu siwezi
150m aisee kamari gan hiyo?Kamari imesababisha rafiki yangu anadaiwa milioni 150 na kukaa jela kwa mwezi mmoja.
Heeee jamani, nmeishiwa pawa 😁🤣🤣🤣🤣🤣 labda nikukopeshe debe la unga.
Huko kubaya napo ni kuacha tuHamia kwenye uraibu wa nyeto
Uraibu ni mmbaya sana!
1.Epuka kuwa na cash nyingi mkononi/kwenye simu
2. Kama hakuna ulazima usitembee na card ya bank
3.ondoa access ya Internet nyumbani
4. Sitisha matumizi ya simu janja kwa muda, tumia tochi!
5. Kama una laptop home, anza kuiacha kazin
6. App zote za aviator futa
7.usikubali kuwa idle, iwe ni home au offcn ! Offcn unaweza kujichanganya ama kufanya extra duties, kwa home unaweza fanya ishu nyingine mfano mazoez n.k ukiwa home hukosi cha kukuweka busy!
8. Omba sana kwa imani yako, ikiwezekana mshirikishe kiongozi wako wa kiroho !
9.sahau kabisa khs hela ulizowahi kuliwa
10.kama una grp za WhatsApp ama watu mnaojadili khs hizi mbaga jimuvuzishe haraka sana ,,,,,
11. Tafuta moja ya hobbies unazopenda komaa nayo sana muda upo free !
All the best champ
🤣🤣🤣🤣 acha ufisadi, hela ya kununua gari umetoa wapi?Heeee jamani, nmeishiwa pawa 😁
Nimebet 😂😂🤣🤣🤣🤣 acha ufisadi, hela ya kununua gari umetoa wapi?
Hakika mkuu kabisa ushauri mzuri. Mungu anisaidieKaa mbali na mazingira yenye ushawishi wa kucheza aviator.
Mfano, uza smart phone ubaki na kitochi (siku mbili tatu, utapata shida lakini baadae utazoea kukaa bila smart)
Kwa speed hiyo ya uchezaji wa game ulionao, inamaana wewe hata ukiwa Instagram, Facebook etc, matangazo kwenye simu yako yatakua ni aviator muuda wote hivyo utakua unashawishika.
Kama una mshkaji ambae mlikuatana kwenye hizo mishe za aviator, anza kumkataa.
Jipe likizo ya kama wiki mbili, nenda mbali huko maeneo tulivu kakae ujitafakari ukirudi mpya
acha kukata tamaa badili mchezo cheza hata roulette unakubalije pesa ibaki kwa mtu.........Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato.
Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali.
Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha yangu yamebadilika. Yaani ni mimi na aviator tu kila pesa nikipata naweka huko na ninaliwa yaani kuna kipindi kwa wiki naliwa si chini ya 3M...
Imagine, yaani najitahidi kuacha lakini siwezi ile uchungu wakupoteza napata kiu kila ninaposhika pesa a naongeza dau na mpaka moyo wangu umekuwa siku hizi kama hauna hisia tena, naweza eka leo 250K ikaliwa ndani ya dakika kumi, nabaki mtupu kuombaomba.
Imefika hatua nataka kuuza mpaka magari yangu ili nicheze Aviator, thanks kea girlfriend wangu anayenishaurigi nisiuze gari ingawa hajui mimi nacheza kamari, yaani hii siri natoa hapa kwenu sijawahi mwambia mtu yeyote.
Kuna saa nawaza nikate eneo a shamba langu niuze ili niweze kurudisha pesa niliyopigwa na mhindi kwenye Aviator maana kwa mwaka toka 2022 napoteza si chini ya milioni 25-35 kwa hesabu za juu juu nilizofanya.
Nawaza kama Aviator ningeijua kabla sijafanya chochote kwenye maisha leo nisingekuwa na kitu chochote, ila hatari iliyopo ni kuwa sasa yaani kwa siku naweza kupata laki tatu nne ila yote inaisha kwa Aviator,
Hakuna hela inakaa mkononi, mpaka inataka kuharibu mahusiano, girlfriend wangu anajua nina uwezo wa kuwa na hela ila kuna wakati anasema inakuwaje nashindwa kumhudumia pesa napeleka wapi ila kumwambia mimi ni teja wa kamari ya Aviator nashindwa naona aibu nazidi kujichimbia kaburi la umasikini mfarakaniko na self denial...
Naombeni maana imenibidi niandike hili baada ya uchungu nimeweka leo jumla ya 400K na mhindi kala yote yaani asubuhi nilikua na 400K mda huu sina hata mia na kuna saa nilipata mpaka 3.6M ila mhindi akairudisha yoooote.
Mazee nimechoka haya maisha naomba mtu aniambie jamani niachaje kamari hiii!? Sitaki haya maisha....
Kuna saa napata hasira balaa ataka mpaka kujidhuru naniuliza nina pepo gani!?
Naomba msaada wa hali na mawazo niweze kuachana na hii kamari ya mchezo wa Aviator.
Kudadeki acha tu kanji mshindi nimechoka miaka yote sijawahi kumshinda nikubali tu nimeshindwaacha kukata tamaa badili mchezo cheza hata roulette unakubalije pesa ibaki kwa mtu.........
Mkuu, kushindana na AI ni sawa na kushindana na greda kubeba vitu vizito. Hutaweza. Utaishia kuumia tu. Hizo akili ulizotumia kupata pesa zitumie hizo hizo kuachana na huo uraibu hakuna kingine cha kukushauri.Kama unanisoma kichwani mimi niko na hulka hiyo sikubali kushindwa lolote, mimi nilipokuwa na umri mwa miaka 21 nilikua najitegemea kwa kila kitu nyumba gari na biashara ninayo tena nikiwa chuo kikuu...
Nina mkono wakupata pesa ila kwa sasa ugonjwa unaonisumbua ni kamari...niliacha magonjwa mengine kama wanawake nk ila suala la kamari ya Aviator kwa miaka mitatu sasa limekuwa tatizo...
Mpaka kuna saa naacha matumizi ya Atm na sim banking ili nipate ugumu kutoa pesa bank ila najikuta siku nakaa kupanga line natoa pesa na naenda kupoteza....
Nilishawahi kupata 16M kwa siku kama ushindi mkubwa kwa Aviator kwa dau ka 10K, na mhindi akairudisha mpaka 12M na kama sio kustuka kuja kutoa ni 11 M tu nilitoa kununulia gari ndogo ya shughuli za shamba la sivyo ilikua inarudi tena yoote
Hivyo hivyo. Unakuta wana mabegi makubwa mazuri, chupa za chai, na vitu vingine kadha wa kadha. Unatoa hela, halafu unapewa hivyo viringi. Ukidumbukiza kwenye kitu husika, unaondoka nacho.Ya viringi ndo ipi hiyo!? Au ile kipindi cha utoto niliona watu wanasimama barabarani wameweka vitu wanawapa watu viringi wanarusha waachopata wanakula!?
Sawa mkuu narudia tena nanunua nokia kitochi kesho na hii smartphone natoa msaada kwa mtuAcha kutumia smartphone kwa muda utakuja kunishukuru