Humu wamejaa waoga wa kutake risk.
Aviator ni nzuri ukiicheza kwa nidham hukosi faida ya 100% had 500%
Aviator Ina mbinu zake .
Mfano Mimi bila Aviator nisingefika hapa nilipo.
Yaani imefika mahala nakosa hadi hela ya kula kisa aviator kakomba hela zotesho
Kabla sijatafuta mchungaji nataka kuwa sober nisitumie simu wala internet kwa miezi mitatuWew tafuta mchungaji uombewe iyo ni roho ya kufilisika
hakuna mkopwaji hapa utakufa njaa na dipresheni 😂Nitakopa kwa Half american
Shida yako ni kuwa unataka kurudisha ulichopoteza, hii ni ngumu sana na utazidi kuathirika na kujiingiza kwenye matatizo zaidi.Aisee itabidi nifanye hivyo ila duh nimejaribu mara kwa mara nashindwa ...tarehe 25/07 mhindi alinipiga balaa 750K nikajiapiza sichezi tena ila nikarudi...
Yaani sijui nifanyaje itabidi niseme hii siri kwa mtu au girlfriend wangu ili aniseme weee nijisikie vibaya
Pombe huwezi kunywa, ulevi wako mkubwa ndio huo mkuu, jitahidi uache.Girlfriend wangu hajui kabisa hii shida yangu, mkuu nitakucheki inbox mimi sio kijana wa hovyo ingawa aisee sinywi pombe sina mademu wengi ila pesa ninayopoteza kwa kamari ya Aviator ni shida
Pole sana kaka daa kumbe ni addicted kiasi hili loo bx acha nitfte nikupe mchongo ambao nafanya uache hyo mambo pole sana kk, Kuna jmaa yngu ni mwalimu naye daaa aisee nmejitahd sana angalau kiasi ameelewaWadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato.
Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali.
Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha yangu yamebadilika. Yaani ni mimi na aviator tu kila pesa nikipata naweka huko na ninaliwa yaani kuna kipindi kwa wiki naliwa si chini ya 3M...
Imagine, yaani najitahidi kuacha lakini siwezi ile uchungu wakupoteza napata kiu kila ninaposhika pesa a naongeza dau na mpaka moyo wangu umekuwa siku hizi kama hauna hisia tena, naweza eka leo 250K ikaliwa ndani ya dakika kumi, nabaki mtupu kuombaomba.
Imefika hatua nataka kuuza mpaka magari yangu ili nicheze Aviator, thanks kea girlfriend wangu anayenishaurigi nisiuze gari ingawa hajui mimi nacheza kamari, yaani hii siri natoa hapa kwenu sijawahi mwambia mtu yeyote.
Kuna saa nawaza nikate eneo a shamba langu niuze ili niweze kurudisha pesa niliyopigwa na mhindi kwenye Aviator maana kwa mwaka toka 2022 napoteza si chini ya milioni 25-35 kwa hesabu za juu juu nilizofanya.
Nawaza kama Aviator ningeijua kabla sijafanya chochote kwenye maisha leo nisingekuwa na kitu chochote, ila hatari iliyopo ni kuwa sasa yaani kwa siku naweza kupata laki tatu nne ila yote inaisha kwa Aviator,
Hakuna hela inakaa mkononi, mpaka inataka kuharibu mahusiano, girlfriend wangu anajua nina uwezo wa kuwa na hela ila kuna wakati anasema inakuwaje nashindwa kumhudumia pesa napeleka wapi ila kumwambia mimi ni teja wa kamari ya Aviator nashindwa naona aibu nazidi kujichimbia kaburi la umasikini mfarakaniko na self denial...
Naombeni maana imenibidi niandike hili baada ya uchungu nimeweka leo jumla ya 400K na mhindi kala yote yaani asubuhi nilikua na 400K mda huu sina hata mia na kuna saa nilipata mpaka 3.6M ila mhindi akairudisha yoooote.
Mazee nimechoka haya maisha naomba mtu aniambie jamani niachaje kamari hiii!? Sitaki haya maisha....
Kuna saa napata hasira balaa ataka mpaka kujidhuru naniuliza nina pepo gani!?
Naomba msaada wa hali na mawazo niweze kuachana na hii kamari ya mchezo wa Aviator.
atachizika.Uza mali zako zote kisha kacheze hiyo kamari,
Utaliwa hela zote,
Hapo itakua umeacha Automatic coz utakua huna kitu tena.
Dipre we jichanganye tu ujute🤣🤣🤣🤣 nifundishe na mimi.
Mkuu mtamuua huyu kijanaKuwa consistency usihame.hame mkuu
ulianza vibaya ila umemalizia vizuri, kamari sio nzuri kabisa.Yaani imefika mahala nakosa hadi hela ya kula kisa aviator kakomba hela zote
😭😭😭😭😭😭😭hakuna mkopwaji hapa utakufa njaa na dipresheni 😂
Dipree niache nikapige mahela. Nimegundua hupendi maendeleo yangu🤣🤣🤣Dipre we jichanganye tu ujute
mtafute Bwana Yesu alifukuze hilo pepoJibu ni sitacheza ila huwa nawashwa kutafuta pesa mpaka nipate nicheze kisha nipoteze ndo hamu inaisha ...hili ni kama pepo
Kama maendeleo yanatokana na icho kidege acha tu nisipende na naweza kujifunza uchawi ili nikuloge kabisa😂Dipree niache nikapige mahela. Nimegundua hupendi maendeleo yangu🤣🤣🤣
Utalia sana na ndio kwanza trh 17😭😭😭😭😭😭😭
🤣🤣🤣 hutaki ninunue gari eeh?Kama maendeleo yanatokana na icho kidege acha tu nisipende na naweza kujifunza uchawi ili nikuloge kabisa😂
Acha basi, hadi tumbo limeuma😭😭😭Utalia sana na ndio kwanza trh 17