Point mno hii. Siku hizi unaweza kujitolea serikalini na bado ajira zikitoka usipate.Pole sana ila ukiendelea kujitolea kwenye hiyo shule ya serikali hali itakuwa ngumu zaidi sababu siku hizi ajira za serikali zinatoka utumishi. Nenda kajitolee shule binafsi labda watakupa ajira baada ya kuona utendaji wako.
kabisaa.Point mno hii. Siku hizi unaweza kujitolea serikalini na bado ajira zikitoka usipate.
Atashaangaa miaka nenda anajitolea na ajira zikitangazwa wanapata ajira hata wale ambao hawakua wanajitolea tena wakapata kazi hapo hapo alipojishikiza yeye!
Pole sana ila ukiendelea kujitolea kwenye hiyo shule ya serikali hali itakuwa ngumu zaidi sababu siku hizi ajira za serikali zinatoka utumishi. Nenda kajitolee shule binafsi labda watakupa ajira baada ya kuona utendaji wako.
hata izo za private nimefatilia nyingii wanapokea barua then majibu yao kuwa watanipigia.Pole sana ila ukiendelea kujitolea kwenye hiyo shule ya serikali hali itakuwa ngumu zaidi sababu siku hizi ajira za serikali zinatoka utumishi. Nenda kajitolee shule binafsi labda watakupa ajira baada ya kuona utendaji wako.
wakati mwingne wanasema hamna nafasiPoint mno hii. Siku hizi unaweza kujitolea serikalini na bado ajira zikitoka usipate.
Atashaangaa miaka nenda anajitolea na ajira zikitangazwa wanapata ajira hata wale ambao hawakua wanajitolea tena wakapata kazi hapo hapo alipojishikiza yeye!