Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
- Thread starter
- #21
Thanks again, Mungu ni mwema nitatoka hapaMtangulize MUNGU, Naye Atakufanyia wepesi[emoji2969]
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks again, Mungu ni mwema nitatoka hapaMtangulize MUNGU, Naye Atakufanyia wepesi[emoji2969]
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Na ikawe hivyo!.Thanks again, Mungu ni mwema nitatoka hapa
Mkuu kwanini hukujiuliza ulivyoona zimezidi?NMB wakanipigia mahesabu ya jumla kuwa pamoja na kununua hilo deni na kutoa deni lao watanipa jumla ya Tsh 5,660,000
Mkuu, ebu msome tena.Ngoja nijaribu kukuelewa:-
1. Tayari una mkopo na NMB uliotokana na kuwauzia mkopo wa Loan Board.
2. Una deni na NMB kutokana na ku-overdrawal!
A. Nini jumla ya 1+2? Yaani Loan + -4,234,000 ?
Let's say total ni 10M.
Assuming hakuna hilo deni la -4,234,000, take home yako kwa sasa ni shilingi?! Kwa take home hiyo unaweza kupata mkopo wa shilingi ngapi? Je, sheria yao ya ku-top up mkopo unaweza kufanya hivyo baada ya muda gani?
Hapo juu umeandika upo kwenye hiyo situation kwa zaidi ya miezi 8... kwa maana nyingine, tayari umeshafanya at least 8 installments kulipia mkopo wako! Katika hali ya kawaida, kufanya 8 installments tayari una-qualify kufanya topup!
Kama sheria yao inasema uwe umefanya at least 12 installments (one year) ndipo u-qualify kufanya topup basi kopa pesa pahala kisha ulipie installment zilizobaki ku-qualify top up!
Ukishafanya hivyo, omba top up ili kufuta hiyo -4,234,000, na hatimae utaanza kupokea mshahara wako though take home itakuwa ndogo kwa sababu kima cha mkopo kitakuwa kimeongezeka!!
Ukiona top up wanazingua, nenda benki nyingine kwa sababu deni la -4,234,000 halitatokea kwenye Salary Slip, na kwahiyo utakuwa na clean/competitive salary slip itakayokuwezesha kuchukua loan pengine!
Ukishapata loan kutoka benki nyingine, usiwe na tamaa... tumia pesa husika kulipa ile -4,234,000 ili ubaki na ule mkopo wa Board!!
NOTE: Maelezo yangu hayo ya juu yame-assume Tanzania hakuna Credit Bureau, na kama ipo basi haipo effective ingawaje pia nashawishika kuamini kwamba, hata kama ipo na iko effective, bado hiyo -4,234,000 haiwezi kuonekana kwenye credit bureau!!
NOTE 2: Vile vile jiridhishe kwanza ikiwa hiyo -4,234,000 ndo hasa ilitakiwa udaiwe kwa sababu kama walikuwa wazembe wa ku-CR mpunga wote kabla ya kukata chao, basi pia wanaweza kuwa wazembe kwa kufanya wrong computation ya nini hasa walitakuiwa kuchukua na kipi ulitakiwa kubaki nacho!!
Alichosema ni kwamba, kabla hajawauzia mkopo kutoka Loan Board, alikuwa na mkopo wa NMB! Baada ya kuwauzia mkopo, aka-top up, na kiwango alichopata kutokana na ku-top up, akabakiwa na TOTAL LOAN X (NMB + Board Loan) na mwenyewe alitarajia angebakiwa na Sh. 5,660,000/=Mkuu, ebu msome tena.
1. Alikuwa na mkopo NMB
2. Akaomba pia awauzie mkopo wa Loan board
3. Hiyo miezi 8 ni miezi ambayo mshahara wake unakadiriwa kuwa utashikiriwa
Wakifanya hivyo kuna uwezekano waka-violate sheria za BoT zinazotaka makato ya mfanyakazi yasizidi 1/3 ya take home.Pia kwa nawaza hiyo mil 4 waliyokuzidishia kwa nn wasiiongeze kwenye deni kuu ili deni liongezeke kufika mil 21. Makato yaongezeke au uongeze muda pia lakini uendelee kupata mshahara
Kama amechukua maximum loan sheria ya BOT hairuhusu kukopea zaidi ya ⅓ ya mshahara wake,ndio maana hata hilo deni tajwa wamembania kwenye akaunti sio kwenye salary slipPia kwa nawaza hiyo mil 4 waliyokuzidishia kwa nn wasiiongeze kwenye deni kuu ili deni liongezeke kufika mil 21. Makato yaongezeke au uongeze muda pia lakini uendelee kupata mshahara
Asante mkuu,Ngoja nijaribu kukuelewa:-
1. Tayari una mkopo na NMB uliotokana na kuwauzia mkopo wa Loan Board.
2. Una deni na NMB kutokana na ku-overdrawal!
A. Nini jumla ya 1+2? Yaani Loan + -4,234,000 ?
Let's say total ni 10M.
Assuming hakuna hilo deni la -4,234,000, take home yako kwa sasa ni shilingi?! Kwa take home hiyo unaweza kupata mkopo wa shilingi ngapi? Je, sheria yao ya ku-top up mkopo unaweza kufanya hivyo baada ya muda gani?
Hapo juu umeandika upo kwenye hiyo situation kwa zaidi ya miezi 8... kwa maana nyingine, tayari umeshafanya at least 8 installments kulipia mkopo wako! Katika hali ya kawaida, kufanya 8 installments tayari una-qualify kufanya topup!
Kama sheria yao inasema uwe umefanya at least 12 installments (one year) ndipo u-qualify kufanya topup basi kopa pesa pahala kisha ulipie installment zilizobaki ku-qualify top up!
Ukishafanya hivyo, omba top up ili kufuta hiyo -4,234,000, na hatimae utaanza kupokea mshahara wako though take home itakuwa ndogo kwa sababu kima cha mkopo kitakuwa kimeongezeka!!
Ukiona top up wanazingua, nenda benki nyingine kwa sababu deni la -4,234,000 halitatokea kwenye Salary Slip, na kwahiyo utakuwa na clean/competitive salary slip itakayokuwezesha kuchukua loan pengine!
Ukishapata loan kutoka benki nyingine, usiwe na tamaa... tumia pesa husika kulipa ile -4,234,000 ili ubaki na ule mkopo wa Board!!
NOTE: Maelezo yangu hayo ya juu yame-assume Tanzania hakuna Credit Bureau, na kama ipo basi haipo effective ingawaje pia nashawishika kuamini kwamba, hata kama ipo na iko effective, bado hiyo -4,234,000 haiwezi kuonekana kwenye credit bureau!!
NOTE 2: Vile vile jiridhishe kwanza ikiwa hiyo -4,234,000 ndo hasa ilitakiwa udaiwe kwa sababu kama walikuwa wazembe wa ku-CR mpunga wote kabla ya kukata chao, basi pia wanaweza kuwa wazembe kwa kufanya wrong computation ya nini hasa walitakuiwa kuchukua na kipi ulitakiwa kubaki nacho!!
Asante" NMB wakanipigia mahesabu ya jumla kuwa pamoja na kununua hilo deni na kutoa deni lao watanipa jumla ya Tsh 5,660,000 nikasema poa tu"
1.Hii hela (5,660,000) waliyokupigia hesabu kwamba utabaki nayo baada ya wao kukata madeni yao yote ikowapi?
2.Na kama walikupigia hesabu wao,kwenye fomu ya mkataba ni lazima iandikwe hivyo,Je IPO hivyo? Kama imeandikwa kwenye mkataba kosa ni lao hivyo hawapaswi kushikilia hela yako kabisa.
3. Makao makuu uliongea na nani?kama ni wale wa huduma kwa wateja wengi hawana uelewa wale,kwa ishu tata kama hizi utaishia kupewa majibu rahisi tu kama waliyokupa.
4."Nikawapigia makao makuu, (audio clip ninazo) wakadai kuna makosa pande zote"
Hapa kosa lako wewe ni nini?si uliambiwa utabaki na 5,660,000?
5."lakini pia wakasema nilifanya kosa la kutoa pesa ambayo ilizidi (kitu ambacho nilikubali)" hapa ulikubali nini mbona unajichanganya wewe mwenyewe?
Hitimisho:
Ukijibu hayo maswali tuyajua tatizo liko wapi,maana kuna vitu naona umejichangaya hatuelewi lakini nikushauri tu,
Andika barua kwa mwajiri(ambaye ndiye mdhamini wako) wako kuelezea tatizo lako ukiweka na uthibitisho wa bank statement,mkataba wa mkopo nk ili yeye aiandike bank rasmi.
Kingine piga huduma kwa wateja(ila usiwaeleze tatizo tena) waombe contact za Idara ya mikopo ya wafanyakazi,ongea na mkuu wa Idara kisha tuma malalamiko yako kwa email(yakiwa na ushahidi,pamoja na barua uliyopeleka kwa wajiri na benki) kopi iende kwa MD au CFO,maana naamini hio barua unayosema umendika umepeleka tawini,ambapo kama kosa ni lao hio inaishia kwa Meneja tu ili nao wawe salama,kwa hatua hizi utapata majibu ya Uhakika.
Kila la Heri.
Credit bureau ipo Tanzania.Ngoja nijaribu kukuelewa:-