Naombeni msaada wa haraka, NMB wamenikalia kooni

Naombeni msaada wa haraka, NMB wamenikalia kooni

Pole sana mkuu, sasa hilo koo si litavunjika...[emoji848][emoji848]
 
Mkuu wewe si mwaminifu,sheria za kibenki zinasema ukikuta pesa imepungua au kuongozeka kwa account yako toa taarifa,nikuulize tu ungekuta mfano hakuna hata shilingi 50 elfu kwa account yako bila taarifa ungekaa kimya au ungeenda benki kuulizia?

Tena naona adhabu waliyokupa ni ndogo ulipaswa uwe sero.

Siku nyingine jifunze kuwa muaminifu na haya yote hayatakukukuta mkuu.
Hawa ndio hawakopesheki hata kidogoo na ndio weny very high risk kwenye CRB
 
Uza nyumba, lipa deni mkuu Kisha Anza upya kujenga.

Pole Sana.
Point sanaa hakuna namnaa...!! Au Atumie hati kukopaaa kwinginee kama bado anayoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Take home ni 572,600
Kwahiyo ni miezi 9,
Tunatoa huu mmoja ambao tayari wameushika ndio hiyo inabaki miezi 8
Pole sana mkuu...! Kuishi bila mshahara ni ngumu sanaa ukizingatia siku hizi Hakuna Overtime wala nini kukavuuu balaaa mamaee
 
Kumbe NMB wakinunua Deni its bettee eehe[emoji23] Maana du hawa Loan board watatuua
 
Hapo kusaidika ni ngumu sana. Kwa sababu umeamua kujipa mkopo mwenyewe kwa masharti yako.

Wanachoangalia ni kurudisha pesa yao ambayo kimdingi umeichukua bila utaratibu. Baada ya hapo ndio nafikiri wataanza kukata kile kiasi cha makubaliano ya mkopo wenu.
 
Nashauri wakuachie Koo then washuke waminye kende hizo ili akili ikurudi next time ukikuta Fwedha narudia Fwedha ambayo unahisi imekuwa deposited mistakenly basi ureport haraka sana
 
Hesabu za wapi mkuu hizo, maanake analamba kama laki tano na point, maana hapo analipa hiyo milion 4 na point aliyochukua siyo mkopo mzima.
Mkuu jamaa anamkopo rasmi namkopo ambao alijikopa mwenyewe (batili) ambao sio rasmi nawala hakuujazia form.

Kwahiyo wakati makato yamkopo rasmi yanaendelea automatically huku makato mengine yamkopo batili yanaendelea ambao huo mkopo batili anakatwa take home yake iliyobakia baada yamakato yamkopo rasmi ndani yahiyo miezi 8 ndio hilo deni litakuwa limeisha. Baada yamiezi hiyo 8 ndio ataendelea kupokea take home yake
 
Kopa kwa mtu hiyo mil. 4 nenda kabalance hiyo credit ili waachie mshahara. Utakuwa unamlipa huyo mtu taratibu. Unga unga hata watu wengi wengi.
Yaani Benki pamoja na Mabilioni yote hayo waliyowekeza hawamuamini huyu Ndugu kiasi cha kushikilia mshahara wake wote ndani ya kipindi cha miezi nane itakua watu binafsi? Avumilie tu hio miezi nane si nyingi kwa wagumu!
 
Yaani Benki pamoja na Mabilioni yote hayo waliyowekeza hawamuamini huyu Ndugu kiasi cha kushikilia mshahara wake wote ndani ya kipindi cha miezi nane itakua watu binafsi? Avumilie tu hio miezi nane si nyingi kwa wagumu!
Yeye anaweza kuwa Mgumu vipi watoto wake...[emoji1787][emoji1787]Wife je???? Mkuu acha tu
 
Hata we ingejuta excess ungesomba yote tuwe wakweli jaman
Nasomba yote kivip wakat najua mshahara unaingilia humohumo? Itmeans wakigundua tu wanapiga pini mshahara?

Mi mtu aliwahi kukosea akatuma laki 7 mpesa niliicha wakairudisha. Coz nilijua thamani ya line yangu na miamala ninayofanya basi nikitoa tu hela watu pindi nikiweka salio tu watapita nalo tu
 
Back
Top Bottom