Labda umeme wake ni wa lukuHilo jamaa ni jitu hovyo tu
Hilo ni shoga Mkuu achana nalo. Huwa linasapoti ushoga huku JFWewe nae si uongea vizuri utaeleweka mtu mgonjwa then unamchamba sijui unatoa maneno makali haifai mkuu..
Kama una UKIMWI nakushauri uachane na hayo matakataka ya ARV.Una umeme gani wa luku?
Nakusihi hakuna dawa za kissuna kwasasa za kutibu vvu. Na kwa mujibu wa rafiki yangu ambae ni dr kanambia kwa dawa za vvu zilizopo sasa, ukimwi si ugonjwa tishio tena.Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri, nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali, Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni
Kachukue dawa utakata moto,mpaka hapo tayari CD 4 zimepungua.Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.
Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.
Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Umekopesha au umegawa?Sina.
Solution afanye nini??Asinywe kabisa huo uchafu wa ARV.
Ukienda hospitali kwa wagonjwa mahututi wa UKIMWI, asilimia 99 wako ON DOSE.
Yale MASUMU YA ARV yanavunja vunja mwili mpaka unakuwa MAJIVU.
Asinywe huo uchafu na HATAKUFA. Huo ndio ukweli, na asiponielewa hapa atanielewa akiwa MUHIMBILI.
Huu ni ushauri mbaya ambao umetoka kwenye NOTES ZA SHULE YA KATA na MADESA YA SHULE YA UDAKTARI.Kachukue dawa utakata moto,mpaka hapo tayari CD 4 zimepungua.
🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽Huu ni ushauri mbaya ambao umetoka kwenye NOTES ZA SHULE YA KATA na MADESA YA SHULE YA UDAKTARI.
Huu sio ushauri uliotokana na ELIMU THABITI.
Ni ushauri mbaya wa KIKASUKU.
Nimekopesha.Umekopesha au umegawa?
Huyo yupo Milembe kaiba simu ya Dokta,Solution afanye nini??
UnazinguaNimekopesha.
Asifanye chochote.Solution afanye nini??
Apunguze hatari kwanini asikitulize ikiwa tayari ni muathirika?Pole sana, anza kutumia dawa kwa usahihi, ushushe viral load upunguze na hatari ya kuambukiza wengine
This is a perfect ROBOTIC REPETITOR with little to no knowledge who presents falsities with fears masquaraded as confidence.mleta mada wahi katumie dawa kisha ufuate taratibu zote