Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

Ni
Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri, nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali, Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni
Nakusihi hakuna dawa za kissuna kwasasa za kutibu vvu. Na kwa mujibu wa rafiki yangu ambae ni dr kanambia kwa dawa za vvu zilizopo sasa, ukimwi si ugonjwa tishio tena.

Ukianza kutumia kwa kufata maelekezo utaendelea kuishi hadi Mungu mwenyewe atapoamua hatma yako

Hivyo nakushauri uende hospital uanze dozi
 
Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.

Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.

Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Kachukue dawa utakata moto,mpaka hapo tayari CD 4 zimepungua.
 
Asinywe kabisa huo uchafu wa ARV.

Ukienda hospitali kwa wagonjwa mahututi wa UKIMWI, asilimia 99 wako ON DOSE.

Yale MASUMU YA ARV yanavunja vunja mwili mpaka unakuwa MAJIVU.

Asinywe huo uchafu na HATAKUFA. Huo ndio ukweli, na asiponielewa hapa atanielewa akiwa MUHIMBILI.
Solution afanye nini??
 
Huu ni ushauri mbaya ambao umetoka kwenye NOTES ZA SHULE YA KATA na MADESA YA SHULE YA UDAKTARI.

Huu sio ushauri uliotokana na ELIMU THABITI.

Ni ushauri mbaya wa KIKASUKU.
🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽
 
Pole sana, anza kutumia dawa kwa usahihi, ushushe viral load upunguze na hatari ya kuambukiza wengine
Apunguze hatari kwanini asikitulize ikiwa tayari ni muathirika?

Mleta mada wahi katumie dawa kisha ufuate taratibu zote za kuishi na maradhi hayo huku ukikaa mbali na ngono
 
Mkuu ngoja nikuelezee kwa lugha nyepesi.

Assume mwili ni computer,

HIV ni kirusi

PreP ni antivirus tuseme firewall.

- ili upate maambukizi inabidi kirusi kiingie ndani ya mwili na kuweza kushambulia.

Iwapo computer yako inaingia flashi kila mara inawezekana unajua zilipotoka au hujui.

Au hizo flash unajua kabisa zina virusi

Hivyo unahitaji ulinzi kabla hujachomeka flash ili computer isiingiliwe na virusi.

Huo ulinzi ni PrEP.

Hii antivirus sio ya milele una update kila siku kwa kula tembe moja.

Ukikutana na flash yenye virus hii antivirus inafanya kazi ya kuzuia kirusi kusababisha maambukizi kwenye computer.

Mbeleni kuna antivirus itakuja ambayo itakuwa sio ya tembe sio ya kunywa kila siku. Itakuwa ya sindano unafanya update kila mwezi au miezi miwili. Tafiti zinaendelea.

Shukrani.
CnP Dr. Norman
 
Tumia ARV ndugu yangu, usifuate maneno ya watu ambao siyo wanasayansi wanaongea kwa stori za vijiweni.
Tumia ARV, jitunze,kula vizuri na mazoezi.
Usipotumia ARV virusi vitazidi nguvu kinga zako na kujikuta unaingia matatizoni.
 
mleta mada wahi katumie dawa kisha ufuate taratibu zote
This is a perfect ROBOTIC REPETITOR with little to no knowledge who presents falsities with fears masquaraded as confidence.

A poison can not cure or control a disease. It damages the body.

Facts vs fantasies, A choice hard to make for zombies and robots.
 
Back
Top Bottom