Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

Ajabu sana Moderator kuacha comments zisizo na utafiti wa kisayansi kusomwa na wanajamii, huenda zikapotosha na kuzidi kumaliza watu.

Unaposema matumizi ya arv hayana msaada wowote kwa mwathirika kwa nini hutoi mbadala wake? Ungekuwepo 90s ukaona jinsi gani watu walioukutishwa na hiv usingesema haya..
 
Kuna food supplements zinafubaza virusi, kuzuia magonjwa nyemelezi, na kuimarisha kinga za mwili...
 
We dokta uchwara utamuua mwenzio kwa hizo sumu.

Mwaka huu niko bampa to bampa na nyie madalali wa ARV na MACHANJO.

Ulichokiandika ni ROBOTIC REPETITION, UKASUKU.

Na mimi ndio dawa ya makasuku mitandaoni na mitaani.
Utakuwa Msabatho..au wale walokoke waliopitiliza wanaopinga chanjo au tiba sahihi za kisasa
 
Yaani wewe ni HIV positive, umeamua kuacha ARVs, umeanza kudhoofu, sasa unataka ushauri wa kurudisha afya yako huku ukizikwepa ARV! Tukushauri nini tena hapo? Unachokitaka umeanza kukipata, kipi ni kipya?
 
Yaani wataalamu wa Afya walipokwambia wewe una HIV uliwaelewa na kuwaamini kwa 100%. Walipokwambia njia bora na mahususi ya kupambana na hiyo hali ni kumeza ARVs, hukutaka kuwaamini ukaja mitaani kuokoteza ushauri wa wajinga. Sasa unavuna mambo!
 
Sasa kama hutaki kutumia dawa za hospital si parapanda inakaribia kulia
 
Usipende ushujaa wa kipumbavuu linapokuja suala serious hasa kuusu uhai wa watuu...!! Jamaa hali yake alipofikaa kabla hajafika Stage 4 HIV aanze kutumia dawaa za ARV ushababi wa kifalaa kuponda matibabu wakati ukiumwa tumbo kidogo tu unakimbilia Kumeza Flagyl mwenzio ana hali mbaya ya afya upuuzi wako unakaa kuponda ARV acha kujidai mjuaji mpe bhasi dawa nyingine ya maaana ya kumsaidia.

Huu ni Uhai wa mtu.
 
Mkuu pole sana na pia naomba nikwambie tuu Kutumia dawa za Arv ni bora zaidi kuliko kutaka kuishi maisha hayo ya Kujifiaaa watu wanatumia dawa na Wamesahau kama wanaumwa Ukimwi wengine Viral load inafika Zero wanasex bila hata kuwa na risk kubwa ya kuambukiza watu. Kuna magonjwa unakunywa dawa maisha yako yote kam cancer.. Sukari na presha yani ukishaanza ndo umeanza na Ubaya hayo magonjwa hasa presha na sukari dawa zake zina masharti sana bora wewe utakula chochote kufanya afya yako iwe sawa.

USIOGOPE KUNYWA ARV UHAI NI BORA KULIKO KUFA KWA UZEMBE WA KUPUUZA MATIBABU. KAANZE CLINIC MKUU.
 
Sumu haonjwii ila Kifo kinaonjwaa ausio???? Wee jamaa ulitakiwa upigwee ban kabisa usichangie hapaa ni MPUMBAVUUU SANAA. Unampoteza mwenzio kwa makusudi usiwe kama mchawi
 
Muulize tu mbadala wake nini, hajui? Mpumbavu mmoja huyu. Mods nao wapo tu hawafuti vitu visivyo na uthibitisho.
@Maxence Melo Hii forum ipo kwa ajili ya kusaidia watu mkuu.. Inatokea mtu analeta information za kupotosha hasa kwenye suala la uhai wa mtu na bado mods mnadhani ndo Uhuru wa maoni sio sawaaa. Yani huyu muomha ushauri hapa Watu 500 tunaweza mshauri aanzw dawa ila sababu akili yake ishakata tamaa na hataki dawa wakati inabdi apate dawa bhasi atamsikiliza Mjinga mmoja anaemsupport kutokunywa dawa.
 
Huyu hana akili, mda wote anawaza kuliwa nyuma tu unadhani atatoa ushauri gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…