BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Zombies are also very real.Mental illness is real.
I have my ZOMBIE FRIEND who believes poison is a cure.
Can you imagine that? NO, YOU CAN'T.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zombies are also very real.Mental illness is real.
Nimuachie nani?Acha ushoga
Unapenda kupakuliwa kinyesi kumbe, ndio maana hata akili hunaNdio
Kuna food supplements zinafubaza virusi, kuzuia magonjwa nyemelezi, na kuimarisha kinga za mwili...Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.
Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.
Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
Utakuwa Msabatho..au wale walokoke waliopitiliza wanaopinga chanjo au tiba sahihi za kisasaWe dokta uchwara utamuua mwenzio kwa hizo sumu.
Mwaka huu niko bampa to bampa na nyie madalali wa ARV na MACHANJO.
Ulichokiandika ni ROBOTIC REPETITION, UKASUKU.
Na mimi ndio dawa ya makasuku mitandaoni na mitaani.
Mimi sio shoga Kama wewe unaepakuliwa kinyesiWewe hupendi kupakuliwa kinyesi?
Wewe una akili kweli?
Usipende ushujaa wa kipumbavuu linapokuja suala serious hasa kuusu uhai wa watuu...!! Jamaa hali yake alipofikaa kabla hajafika Stage 4 HIV aanze kutumia dawaa za ARV ushababi wa kifalaa kuponda matibabu wakati ukiumwa tumbo kidogo tu unakimbilia Kumeza Flagyl mwenzio ana hali mbaya ya afya upuuzi wako unakaa kuponda ARV acha kujidai mjuaji mpe bhasi dawa nyingine ya maaana ya kumsaidia.Wewe bado katoto kadogo. Hujui kitu zaidi ya maziwa na kashata.
Zile NOTES ZAKO UCHWARA ulizokariri kwenye SHULE YA KATA haziwezi kukusaidia kwenye hili. Utakuwa kama kasuku anayejamba jamba tu huku akiangamia kwenye kina kirefu.
Kama una UKIMWI nakushauri uachane na huo uchafu wa ARV.
Najua utanikasirikia na kunifokea kwa sababu umekata tamaa, lakini hili neno ninalolisema ni UHAI.
Niko makini kupambana na makasuku na madalali ya ARV. Nakuangalia kwa macho saba.
Kwahiyo usifikiri unajibizana na makusuku wenzio. I am well informed na ninajiamini kweli kweli.
Sumu haonjwii ila Kifo kinaonjwaa ausio???? Wee jamaa ulitakiwa upigwee ban kabisa usichangie hapaa ni MPUMBAVUUU SANAA. Unampoteza mwenzio kwa makusudi usiwe kama mchawiSijui kama unajua kusoma na kuandika?
SUMU HAIWEZI KUPONYA MWILI, FULL STOP.
Siwajibiki kutoa maelezo, ushahidi au kiambatanisho chochote.
Kama unataka ushahidi utasubiri sana, huo ushahidi sina hata mmoja, lakini ninachojua ni kimoja tu, SUMU HAIONJWI.
@Maxence Melo Hii forum ipo kwa ajili ya kusaidia watu mkuu.. Inatokea mtu analeta information za kupotosha hasa kwenye suala la uhai wa mtu na bado mods mnadhani ndo Uhuru wa maoni sio sawaaa. Yani huyu muomha ushauri hapa Watu 500 tunaweza mshauri aanzw dawa ila sababu akili yake ishakata tamaa na hataki dawa wakati inabdi apate dawa bhasi atamsikiliza Mjinga mmoja anaemsupport kutokunywa dawa.Muulize tu mbadala wake nini, hajui? Mpumbavu mmoja huyu. Mods nao wapo tu hawafuti vitu visivyo na uthibitisho.
Huyu hana akili, mda wote anawaza kuliwa nyuma tu unadhani atatoa ushauri gani.@Maxence Melo Hii forum ipo kwa ajili ya kusaidia watu mkuu.. Inatokea mtu analeta information za kupotosha hasa kwenye suala la uhai wa mtu na bado mods mnadhani ndo Uhuru wa maoni sio sawaaa. Yani huyu muomha ushauri hapa Watu 500 tunaweza mshauri aanzw dawa ila sababu akili yake ishakata tamaa na hataki dawa wakati inabdi apate dawa bhasi atamsikiliza Mjinga mmoja anaemsupport kutokunywa dawa.
HakunaKuna food supplements zinafubaza virusi, kuzuia magonjwa nyemelezi, na kuimarisha kinga za mwili...