Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

kalanga1

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
318
Reaction score
432
Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri.

Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa juzi si nikashikwa na vidonda vya tumbo ndio nimeumwa kwa muda, sasa ndio hali ikawa sio hali.

Mwili umekonda kwa sasa naonekana kabisaa, sasa nawaleteeni nyinyi waungwana maana jana asubuhi naangalia vidole vya mikono vimekua vidogo, nisaidieni kama kuna mwenye kujua haya madawa ya asili, au za ksuni au kwa chochote, ahsanteni.
 
My dear nenda na wahi hospitali kabla hujacgelewa, kabla virus havijakomaa kiasi kwamba dawa hazitasaidia tena

Usiwe unafata ushauri wowote katika swala la afya yako wa kukushauri awe mtaalam wa afya ambae ulifika kwa matibabu

Ukimwi n mbaya sana unaua vibaya mno yaani unakufa vibaya sana

Wahi hospitali mudaa huu umetoa post ungeenda hospitali aiseee
 
Mods wampige ban huyu, nataka nikutukane matusi makubwa makubwa


Hivi kweli mtu damu ina virusi unaeza pona kweli bila dawa? Hivi cirus unavijua wewe hukusoma darasani??


Unaumwa tu malaria wadudu wanajaa kweenye damu unalazwa vipi huo UKIMWI???



Nataka nikutukane mods waniruhusu
Kwa niamba ya mods nimekuruhusu
 
Hamnaga mbadala huo ugonjwa kama ulivyoletwa na wakatoa na dawaa basi ifike mahali watu wawe wapole wajishushe watumie ee


Watu waache ujuaji mwingi

Tumien dawa
Mkuu niliye muuliza sio wewe .
Na lengo la kuuliza amsaidie huyo mgonjwa apate mbadala wa ARV.Kwakua wewe huna jibu kama mimi bora kunyamaza.
Na sio kila aneuliza au kuchangia mada ni mgonjwa .
 
Daaah hii noma hii jinsia yako wewe ni Me au Ke, alafu tungeomba utupe scenario uliupataje ufanye hivyo hio story ibakie humu km ukumbusho kabla haujaenda makao mapya
 
Back
Top Bottom