Dasvidaniya
Senior Member
- Sep 17, 2024
- 194
- 671
Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good
Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho
Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo Rakims Pascal Mayalla na wengineo kutokana na uelewa wangu mdogo imekuwa vigumu sana kuelewa na kujifunza haya mambo. Mambo ya high na low frequency, meditation, chakras sijui Third eye, physical powers n.k ni mengi sana ila hayo ni machache niliyoyahifadhi akilini
Sasa wakuu yeyote mwenye kujua kuhusu haya mambo naomba anisaidie ata list ya vitabu vya kuanzia vya kusoma nipate kujua mawili matatu nitafurahi sana na kuahukuru, viwe English au swahili ni sawa tu japo hiki kizungu sometimes kinanisaliti ila sio mbaya nitakomaa kibishi tu
NB: Mimi ni jobless