Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

Mwamba kuhusu meditation Ile ina sura mbili ila kuwa makini .unaweza kujikuta umekuwa sangoma ghafra bila kutarajia ila muhimu tuambie huu Masada Una malengo gani maana siku hiz hadi NEC ya CCM uchawa unasikika Kwa frequency za juu.
 
Kwani meditation na third eye ni ya gizani? Kwa uelewa wangu meditation ni tahajudi yaani kutafakari kwa kina sasa inaingiaje kwenye giza mkuu
Subiri waje wakuelezee kwa kina kisha utafakari mwenyewe
 
Mwamba kuhusu meditation Ile ina sura mbili ila kuwa makini .unaweza kujikuta umekuwa sangoma ghafra bila kutarajia ila muhimu tuambie huu Masada Una malengo gani maana siku hiz hadi NEC ya CCM uchawa unasikika Kwa frequency za juu.
Lengo ni kujilinda kiroho na kuweza kumtambua adui mkuu maana hii dunia ina mengi sana
 
Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good

Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho

Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo Rakims Pascal Mayalla na wengineo kutokana na uelewa wangu mdogo imekuwa vigumu sana kuelewa na kujifunza haya mambo. Mambo ya high na low frequency, meditation, chakras sijui Third eye, physical powers n.k ni mengi sana ila hayo ni machache niliyoyahifadhi akilini


Sasa wakuu yeyote mwenye kujua kuhusu haya mambo naomba anisaidie ata list ya vitabu vya kuanzia vya kusoma nipate kujua mawili matatu nitafurahi sana na kuahukuru, viwe English au swahili ni sawa tu japo hiki kizungu sometimes kinanisaliti ila sio mbaya nitakomaa kibishi tu

NB: Mimi ni jobless
Tafuta Hela mkuu hayo mambo ni magonjwa ya walio na Hela za kutosha wakakosa kazi za kufanya na hizo Hela au waliokata tamaa hence wanataka waonane na Mungu wamuulize why me!!?
 
Ninacho kitabu cha Siri nyingi sana za hapa duniani..

Ila iki kitabu kule mikoanu nauzaga 20000. Cash.
Ila wewe kwa kuwa ni mwanachama mwenzangu takupa kwa bei la punguzo kwa shilingi alfu tano tu...

Hiki kitabu kimebadilisha wengi sana ikiwemo hao wote ulio wataja.

Sina mengi kama umewiwa njo pm
mwandishi plz
 
Back
Top Bottom