MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Kuna mfanyakazi mwenzangu ambaye Mimi namzidi cheo Ila kapewa Kazi Fulani ya kutupangia utaratibu WA Kazi WA kila wiki.
Sasa huyu mtu Ni wale watu wanaitwa kupe, Ni dizaini ya watu wenye tabia ya kupenda kujiweka mbelembele, Kwa kila kitu anataka yeye aonekane ndio anaweza,ikitokea shughuli Fulani,nipe nifanye mimi,niende Mimi,Mimi ndio mtaalam, yaani ikitokea umekuja na rafiki ofisini atajitaidi kujiweka ili awe karibu na rafiki yako Ni mtu ambaye kila Jambo anataka liwe lake,mbaya Zaidi Ni mtu ambaye anapenda kuwasiginia wenzie, kujionyesha yeye ni Bora.
Kwa Bahati mbaya sana Mimi na yeye hatupikiki chungu kimoja,tabia zetu hazifanani si mnajua ndege wanaofanana uruka pamoja, yeye mpenda sofa,Mimi sipendi sofa, yeye anajikweza sana, Mimi naona watu wote Sawa hivyo nabadilika kutokana na niliyekutana naye.
Sasa kilichonisukuma kuomba ushauri Ni kwamba Kwa Kazi ile TU aliyopewa ya kupanga huo mpango japo hastaili kutokana na cheo chake Ila Kwa kuwa Ni mtu WA mbelembele ameweza kuwaaminisha japo anafanya sio Kwa vile inatakiwa kuwa,na nimejitaidi sana kuonyesha hisia zangu kuwa huyu anang'ang'ania TU Ila anatuumiza wengine ,lakini hoja yake anawaambia watu naona wivu japo Kazi haina malipo hata kidogo Ila TU,Ni ile mtu anakupanga mfulululizo mpaka unaona kama anachuki na wewe, na kuendelea kuliongelea anafika hatua anakukejeli kuwa Yule haniwezi,hana nyota na Mambo mengi ya maudhi.
Kiumri nimemzidi na cheo nimemzidi Ila kupitia ushawishi wake pale kazini, Mambo mengi ambayo Mimi kama kiongozi wake nikisema nilalamike juu watasema napambania kile yeye anachofanya japo hakina malipo, pia kutokana na tabia zake nikianza kuwa kama ninachuki naye Mimi Kwa cheo changu na yeye Kwa ushawishi wake anaweza kuonekana kama Hana kosa Ila Mimi ndio Nina kosa au yanaweza kufanyika maamuzi ya kumuamisha mmoja na Kwa Namna ninavyoona Mimi ninanafasi KUBWA ya kuhamishwa Kwa kuwa Sina tabia ya kumsujudia mtu au kujipendekeza .
Katika kipindi hichi chote nimekuwa navumilia sana tabia ya mtu niliyemzidi cheo kunipanga Kazi na mbaya Zaidi ukimuuliza anasema wewe mlalamishi na fanya Kazi,tutajadili wiki ijayo imekuwa kama yeye ndiye anamamlaka na anaamua nini cha kufanya hata kama kinakera na kuhuudhi watu wengine,wapo wanaoumia Ila wanaogopa kusema Kwa hofu ya kuonekana wasumbufu na pia wanaweza kuhamishwa lakini Mimi nakelwa Kwa kuwa najua inawezekana kukawa na mpango mzuri WA wafanyakazi KUINGIA na kupumzika kila baada ya siku mbili au tatu.
NAOMBENI ushauri huyu mtu siwezi kumuamisha,kumtoa,kumchongea,kumsema Vibaya Kwa watu,kumshtaki Ila kumueleza Kwa mdomo nimefanya hivyo Ila anakibri, sasa Nawaza niendelee kuvumilia huku naumia,naisi atajiona mshindi.kumsemea Kwa viongozi wanaweza kusema naona wivu au wakanikubalia mdomoni lakini mioyoni wakawa wanafiki na kuanza kuniteta au Ni niamue liwalo na liwe Bora nionekane nilikuwa nataka kuwa mpangaji WA mpango,niufanye Mimi ili niutendee haki ili kila mtu aridhike au niendelee kuwa kama mshumaa.
Asante nisaidieni M
mawazo tu.