ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uwezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716