Naombeni msaada wa sheria,naweza kuishitaki bodi ya mikopo?

kajaga88

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
228
Reaction score
31
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uwezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716
 
Pole tupo wengi sana ambao tumenyimwa mikopo ya elimu ya juu,,mim mwenyewe nimechaguliwa UDSM main campus,lakin mkopo sina,ila sitaacha chuo,naenda,kitivo cha elimu nimepangiwa.mwakajana nilipata chuo kitivo hichohicho cha elimu,na chuo hichohicho cha UDSM,lakini mkopo pia walininyima,sikwenda kabisa,mwaka huu,naenda.najua nitasafa,lakini acha nikafie chuo,
 
Pole ... Kuwashitaki huwezi utakua unapoteza tu mda wako especially kama kozi uliyochagua haikua priority labda ujaribu ku appeal ...
 
Unaweza kufungua kesi , kwa msaada wa kufanya hivyo jaribu kuwaona TLS ( Chama cha Sheria Tanganyika) kitengo cha msaada wa sheria au legal and human rights centre
 
Pole tupo wengi sana ambao tumenyimwa mikopo ya elimu ya juu,,mim mwenyewe nimechaguliwa UDSM main campus,lakin mkopo sina,ila sitaacha chuo,naenda,kitivo cha elimu nimepangiwa.mwakajana nilipata chuo kitivo hichohicho cha elimu,na chuo hichohicho cha UDSM,lakini mkopo pia walininyima,sikwenda kabisa,mwaka huu,naenda.najua nitasafa,lakini acha nikafie chuo,

Mungu wangu msaidie kijana huyu kwa kumtia nguvu!
 
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uwezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716

pole sana rafiki
 
itafanikiwa tu, kuna vitu vizuri baada ya hili janga ndivyo ilivyo kwa watu waliofanikiwa.
NB: IN GOD WE TRUST
 
itafanikiwa tu, kuna vitu vizuri baada ya hili janga vitakuja vuta sunira ,ndivyo ilivyo kwa watu waliofanikiwa.
NB: IN GOD WE TRUST
 
Pole ... Kuwashitaki huwezi utakua unapoteza tu mda wako especially kama kozi uliyochagua haikua priority labda ujaribu ku appeal ...

niliomba kozi zenye priority,kwani hari yangu kiuchum,naijua mwenyewe
 
Pole tupo wengi sana ambao tumenyimwa mikopo ya elimu ya juu,,mim mwenyewe nimechaguliwa UDSM main campus,lakin mkopo sina,ila sitaacha chuo,naenda,kitivo cha elimu nimepangiwa.mwakajana nilipata chuo kitivo hichohicho cha elimu,na chuo hichohicho cha UDSM,lakini mkopo pia walininyima,sikwenda kabisa,mwaka huu,naenda.najua nitasafa,lakini acha nikafie chuo,
pole kiongozi! mungu wetu ni mwema sana, atafanya njia pasipo na njia!
 
Pole sana kwa kukosa mkopo miaka 2 mfululizo....

Sikushauri sana kuwashtaki hawa jamaa,kuna jamaa humu alisema hakuna menu makali ya kuwauma hawa heslb...Wao wenyewe wana majibu ya "hata ukienda kwa mkuu wa nchi mambo ni yaleyale"

Nakushauri, jitutumue hivyo hivyo kwa hali yako,nenda chuo kasome,utafaidi matunda ya elimu baadae..Wewe si wa kwanza kunyimwa mkopo ilhali una uchumi mbovu,wapo wengi kama wewe,walijitutumua wakaweza,leo wanatereza tu mtaani...
 
bodi ni wahuni sijapata kuona yaani,pole kijana mungu atakusaidia,mimi mwenyewe nimekosa na wameniambia eti sijaapply loan ila nitajitutumua kulipa kwa sababu naona hata nikifatilia nitapoteza muda wangu na hakuna litakalokua maana mwisho wataniambia bajeti imekwisha,mungu atakusaidia kaka yangu nakuhurumia ila sina la kukusaidia,
 
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta ya kwanza.hii ilitokana na kukosa mkopo.mwaka huu,nimechaguliwa saut tabora,shahada ya ualimu,na nimekosa pia mkopo.nikiangalia bodi,wanasema,sikupata mkopo kwa sababu nimemaliza fom six,miaka mitatu iliyopita.kipindi najaza fomu ya mikopo,hakukuwa na kigezo cha namna hiyo.leo nikose mkopo,ndo niambiwe hivo.wakati kuna watu wamemaliza shule,mwaka 2004,1995,na wengineo.ila mimi niliyeitimu 2007,naambiwa nimemaliza zamani.nataka kuacha tena chuo.babangu kafariki tangu 1989,mama hana uwezo,na yupo kijijini ukerewe.kwa mtu anayejua kusimamia sheria,anisaidie niweze kuishitaki bodi,ikiwezekana nirudishiwe garama zangu.namba yangu ni 0782822716

kupata elimu ni moja ya haki za binadamu na haki za binadamu ni inherent yani zinakua za mtu kipindi anapozaliwa...kwa kua elimu ni moja ya haki za binadamu unaweza kufungua kesi kwa serikali kuivunja au kukunyima haki yako muhimu ila kwa katiba ya sasa haiwezekani kwa kua haki ya kupata elimu haijawekwa kwenye kifungu cha haki za binadamu yani bills of rights bali kimewekwa kwenye sura ya directive principles and state policy ambacho sio enforceable katika mahakama yoyote...sasa cha muhimu we nikupigania haki ya elimu iwe kwenye sura ya haki za binadamu kwenye katiba hii ili wanao wafaidike na sio kupigania unataka serikali ngapi
 
May God give you according to your wish.just receive what you desire in Jesus name
 
Back
Top Bottom