Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Salamu wakuu
Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu
Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa
Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila siku wanalazwa hosptal mtoto ana six month now.halafu ni young couple just imagine hata mama mkwe na mawifi hawaendi hosp.hata chakula anakula cha hosp hakuna wa kumpelekea maana mume inabidi apambane maana kuna bill za hosp inabidi walipe
Sasa nilivoona nimsaidie baadhi ya vitu kwa uwezo wangu
Ila nikaona niwashirikishe ndugu zangu humu kama kuna mtu anavitu vya watoto mfano cha kujifunzia kukaa au kutembelea etc ambayo hatumii anisaidie nimpe au kama unauza bei ya chini nitanunua
Nimejaribu kutafuta kwa mashoga zangu sijapata bado