Naombeni msaada wa vitu vya watoto

Naombeni msaada wa vitu vya watoto

Tafuta vifaa vinavosaidia kuongeza usikivu sidhani kama vitakua bei ghali sana
Vina gharama kiasi kuna mtu niliwahi kukutana nae akiwa hoapitali mtoto wake anatumia hivyo gharama kwa masikio yote ilikuwa kama tsh 1.2M, alivinunulia kenya ila alikuwa ameenda kubadili battery.

Sina hakika kama bima zetu hizi zina support.
 
Bei Gani mkuu na Sina Gani na wapi vinapatikana?

Kama upo DSM naomba uende na huyo mtoto katika hosptali ya Aghakan .

Utapata vifaa saidizi kutoka na udogo au ukubwa wa tatizo lake.

Pia kuna Dawa ulitumia kuhusu hilo tatizo lake mfano hizi Dawa za Asili

Maana Mimi mzee wangu alikuwa na tatizo Kama hilo Ila alipata Dawa za Asili sasa yupo sawa.
 
Hapana mkuu,alitumia za Hospital.Za asili napataje mkuu?
 
Kuna changamoto za watoto akizaliwa nazo ni bora angekufa, maana its a life long torture kwa mtoto, na kwako mzazi hautafanya chochote maishani mwako..
Binafsi nimekuelewa vizuri sana, ingawa wapo ambao hawato kuelewa kabisa.
 
Hapana mkuu,alitumia za Hospital.Za asili napataje mkuu?

Ngoja ntamuuliza alitumia Dawa gani na alinunua wapi.

Maana sasa hivi amesafiri ntamtumia ujumbe na majibu atakayonipa nitayaleta hapa.

Pia Kama upo DSM jaribu kuendelea na mchakato wa kuangalia alternative mbalimbali naimani utafanikiwa.
 
Niko Huku jangwani_Dodoma!
 
Vina gharama kiasi kuna mtu niliwahi kukutana nae akiwa hoapitali mtoto wake anatumia hivyo gharama kwa masikio yote ilikuwa kama tsh 1.2M, alivinunulia kenya ila alikuwa ameenda kubadili battery.

Sina hakika kama bima zetu hizi zina support.
Inawezekana maana hapa nimejaribu kuangalia naona mwananchi waliripoti taarifa ya hivo 1.2M za digital.

Kipindi flan kule kijijini mtendaji wa kijiji alikua anakusanya taarifa za watu wenye changamoto mbali mbali kama wanaohitaji viungo bandia, matatizo ya macho, matatizo ya masikio na meno baadae mnapigiwa simu mnaenda hospital ya kanda mnakutana na madaktari bingwa mnasaidiwa Kwa gharama rafiki
 
Kwa wale mliobarikiwa kupenda kutoa hela naomba niongee na mod
Wakiniruhusu niweke mkeka hapa kwa uwazi
Na kitakachopatikana nilete na risiti yake wakuu.maana mjini hapa heshima kitu cha bure
 
Ukiruhusiwa tunaomba uweke na muda wa zoezi kuisha ili watu waweze kujipanga kushiriki kikamilifu
 
Binafsi nimekuelewa vizuri sana, ingawa wapo ambao hawato kuelewa kabisa.
Wengi kwa sasa wanazaa wale tunaita "Precious Babies"..

Yani mtu anapanga azae watoto 2 tu utafikiri maisha ni straight line, hawajui kuna kuzaa watoto vilema.

Hawajui unaweza kuzaa then hao 2 wakafa, sisi siyo Mungu.

Zamani wazee wetu walikuwaga wakizaa watoto type hii basi ni kunyonga na kutafuta wengine (The Cruel Side of Nature).

Hii hata wanyama wanayo, akizaliwa mtoto kilema basi wanyama humuacha na kuendelea na maisha mengine.
 
Back
Top Bottom