Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Vina gharama kiasi kuna mtu niliwahi kukutana nae akiwa hoapitali mtoto wake anatumia hivyo gharama kwa masikio yote ilikuwa kama tsh 1.2M, alivinunulia kenya ila alikuwa ameenda kubadili battery.Tafuta vifaa vinavosaidia kuongeza usikivu sidhani kama vitakua bei ghali sana
Bei Gani mkuu na Sina Gani na wapi vinapatikana?
Hapana mkuu,alitumia za Hospital.Za asili napataje mkuu?Kama upo DSM naomba uende na huyo mtoto katika hosptali ya Aghakan .
Utapata vifaa saidizi kutoka na udogo au ukubwa wa tatizo lake.
Pia kuna Dawa ulitumia kuhusu hilo tatizo lake mfano hizi Dawa za Asili
Maana Mimi mzee wangu alikuwa na tatizo Kama hilo Ila alipata Dawa za Asili sasa yupo sawa.
Binafsi nimekuelewa vizuri sana, ingawa wapo ambao hawato kuelewa kabisa.Kuna changamoto za watoto akizaliwa nazo ni bora angekufa, maana its a life long torture kwa mtoto, na kwako mzazi hautafanya chochote maishani mwako..
Hapana mkuu,alitumia za Hospital.Za asili napataje mkuu?
Sina taarifa zaidi unaweza fuatilia Muhimbili au hospital kubwa za private.Bei Gani mkuu na Sina Gani na wapi vinapatikana?
Sawa MkuuSina taarifa zaidi unaweza fuatilia Muhimbili au hospital kubwa za private.
Niko Huku jangwani_Dodoma!Ngoja ntamuuliza alitumia Dawa gani na alinunua wapi.
Maana sasa hivi amesafiri ntamtumia ujumbe na majibu atakayonipa nitayaleta hapa.
Pia Kama upo DSM jaribu kuendelea na mchakato wa kuangalia alternative mbalimbali naimani utafanikiwa.
Inawezekana maana hapa nimejaribu kuangalia naona mwananchi waliripoti taarifa ya hivo 1.2M za digital.Vina gharama kiasi kuna mtu niliwahi kukutana nae akiwa hoapitali mtoto wake anatumia hivyo gharama kwa masikio yote ilikuwa kama tsh 1.2M, alivinunulia kenya ila alikuwa ameenda kubadili battery.
Sina hakika kama bima zetu hizi zina support.
Ukiruhusiwa tunaomba uweke na muda wa zoezi kuisha ili watu waweze kujipanga kushiriki kikamilifuKwa wale mliobarikiwa kupenda kutoa hela naomba niongee na mod
Wakiniruhusu niweke mkeka hapa kwa uwazi
Na kitakachopatikana nilete na risiti yake wakuu.maana mjini hapa heshima kitu cha bure
Sawa mkuu. Ubarikiwe sanaUkiruhusiwa tunaomba uweke na muda wa zoezi kuisha ili watu waweze kujipanga kushiriki kikamilifu
Wengi kwa sasa wanazaa wale tunaita "Precious Babies"..Binafsi nimekuelewa vizuri sana, ingawa wapo ambao hawato kuelewa kabisa.