Naombeni msaada wenu guys

Naombeni msaada wenu guys

Wakishawapa form six leavers wanafungua dirisha kwa watu wa diploma waliomaliza form 4
Sidhan kama uko sahihi mkuu, kwahy unamaanisha kuwa hapo n mpaka six leavers wote wapate mkopo then pesa zitakazobaki ndio wanapewa wa form 4? Kwan n lin pesa za mkopo ziliwahi kutosha mana kuna wngn wana vigezo na wanakosa mkopo. Au una maana gn?
 
Wanafanya hivyo kwasababu hiyo mionz inaleta cancer za karibia kila namna! Madhara kibao
Kama n hv bc mtoa mada aangalie kozi nyngn tuu 😂 mana hapo n sawa na kusema serikali haitaki mtumishi wake afie mikononi mwao
 
Sidhan kama uko sahihi mkuu, kwahy unamaanisha kuwa hapo n mpaka six leavers wote wapate mkopo then pesa zitakazobaki ndio wanapewa wa form 4? Kwan n lin pesa za mkopo ziliwahi kutosha mana kuna wngn wana vigezo na wanakosa mkopo. Au una maana gn?
Wanaweka fungu tofauti kabisa(Hz ni siasa ndugu) wanapunguzaga upande wa form six leavers wanaweka upande wa diploma.
Hence equation balanced! Ndo maana tangu wameanza last year mkopo upande wa degree wanapewa kidogo sana.
 
Kama n hv bc mtoa mada aangalie kozi nyngn tuu 😂 mana hapo n sawa na kusema serikali haitaki mtumishi wake afie mikononi mwao
Ndo hivyo saiv techonology imekua ndo maana anafanya hata miaka 5! Lakin zaman mitatu unapita hv... Hizo X rays,beta rays etc hazifai
 
Ndo hivyo saiv techonology imekua ndo maana anafanya hata miaka 5! Lakin zaman mitatu unapita hv... Hizo X rays,beta rays etc hazifai
Ila mbona kama private wanakaa muda mrefu au inakuwaje hapo
 
Tamaa mbele mauti nyuma!
Yn unafanya kazi serikalini huku ukijua baada ya miaka mitano nakuwa mstaafu 😂 hy hapana aisee
Halafu unaweza kukuta mshahara wake wa kawaida tuu, hauna maajabu
 
Back
Top Bottom