EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye link za thread zinazozungumzia haya mambo aziquote zinioeleke huko.Ahsanteni