Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

Nilipo kuwa nasoma mkwawa nilikuwa nafaidi Sana aisee. Nilikuwa nakuja kihesa na kule ccm. Kule makanyagio kulikuwa hakuna mafundi wa kutengeneza

Ushauri wangu piga mdudu Hana madhara

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kumbukumbu la taurati 14:8
Hiyo ayat uliyo weka ni sheria za ùmma wa nani??[emoji101][emoji101]
Vitabu vya deen/Imani Vinabainisha kuhusu Umma!
Biblia Takatifu!
[emoji1484][emoji1484]
Luka 22
19 Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, [Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.

20 Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.]

Qulaani!
[emoji1484][emoji1484]
لِّكُلِّ أُمَّةٍ جَعَلْنَا مَنسَكًا هُمْ نَاسِكُوهُ ۖ فَلَا يُنَازِعُنَّكَ فِي الْأَمْرِ ۚ وَادْعُ إِلَىٰ رَبِّكَ ۖ إِنَّكَ لَعَلَىٰ هُدًى مُّسْتَقِيمٍ

[ AL -HAJJ - 67 ]
Kila umma tumewajaalia sheria zao na ibada zao wanazo zishika. Basi wasizozane nawe katika jambo hili. Na waite watu kwendea kwa Mola wako Mlezi. Hakika wewe uko kwenye Uwongofu Ulio Nyooka.
 

Siku utakunya funza weupe au wakitoka wenyewe kwenye hiyo njia ya yabisi ndio itakua mwisho wako wa kula
 
Maisha haya ni ndoto ya kila mtanzania
 
Mbona simple tu, acha kutafuta pesa. Ukikosa pesa hutaweza kununua na utaacha kabisa.

Ama lah jiue.
La sivyo ni ngumu kuacha mdudu na alivyo mtamu vile unaachaje sasa!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…