Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila sio Mbaya.
Nyimbo Zenyewe ni
1. Wanaume Tumeumbwa Mateso
2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir
3. Lulu, Yesu Nipeleke Kuule kwa Baba
4. Simba wa Yuda Ananguruma.
5 Yu Mwema, Mungu Yu Mwema
6. Wa Kuabudiwa - Christina Shusho
7. Mungu Mwenye Nguvu - Solomon Mkubwa
8. Malebo & Wanamuabudu Nani - Pastor Munishi
9. Nasema Asante - Sara K
10. Usifurahi Juu Yangu - Upendo Nkone
NB; Sina MB's za kutosha za Kupakua, Mimi Bado Mwanafunzi, Hivyo Naomba Mnisaidie Ndugu Zangu.
MUNGU AWABARIKI.
Nyimbo Zenyewe ni
1. Wanaume Tumeumbwa Mateso
2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir
3. Lulu, Yesu Nipeleke Kuule kwa Baba
4. Simba wa Yuda Ananguruma.
5 Yu Mwema, Mungu Yu Mwema
6. Wa Kuabudiwa - Christina Shusho
7. Mungu Mwenye Nguvu - Solomon Mkubwa
8. Malebo & Wanamuabudu Nani - Pastor Munishi
9. Nasema Asante - Sara K
10. Usifurahi Juu Yangu - Upendo Nkone
NB; Sina MB's za kutosha za Kupakua, Mimi Bado Mwanafunzi, Hivyo Naomba Mnisaidie Ndugu Zangu.
MUNGU AWABARIKI.