Naombeni sifa za wanawake au mabinti kutoka Mafia

Naombeni sifa za wanawake au mabinti kutoka Mafia

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
989
Reaction score
1,843
Natanguliza Salam kwenu wadau wa jukwaa hili

Kama kichwa kinavyosema naomba kujuzwa kwa wale wanao fahamu sifa au characteristics za wanawake kutoka kisiwa cha mafia. Ndugu yenu nataka kujua mbili tatu kabla sijawekeza hisia na resources pia.
 
1.Wapole
2. Wavumilivu
3. Hawampelekeshi mwanaume
4. Wastaarabu
5. Wasafi
6. Wanajua kupika
7. Kuchapiwa nje nje (linda mali yako)
Mkuu hiyo sifa ya mwisho sio kwao tu, hiyo ni kwa mwanamke yoyote tu anaweza kuamua kugawa akitaka.

Hizo sifa nyingine zina shawishi na pia zinapendeza, shukran sana mkuu.
 
Back
Top Bottom