Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Hii channel ni uzuzu mtupu kama wewe ni mfuasi basi nauhakika umasikini hutokuwa nao mbali ni pete na kidoleAngalia kipindi cha ukombozi wa familia kila siku saa tatu usiku chnnel ya Arise and Shine, paka wote watakimbia au kufa. Usidharau
wawekee sumu na samaki mkubwa km mwili wako.... ss ww unawekea sumu tu kwa mfan km ww ndo ungekuw ao nyau ungekubal kula sumu kavu kavu bila mnofuKuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa lilipo Dirisha langu.
Na kwanini ukiwategea Sumu hawali?
Muwe serious bas wakat mwingine 🤣Angalia kipindi cha ukombozi wa familia kila siku saa tatu usiku chnnel ya Arise and Shine, paka wote watakimbia au kufa. Usidharau
Watu siku hizi akili zao wanaziacha chooniMuwe serious bas wakat mwingine 🤣
Yuko wapi ?Uchawi mtafute Yesu
Dah!Sukuhisho la kikatili ni kufuga nguruwe hapo.
Wakija tena basi nitalipa milion 50 kumposa dada yako
Mtoa mada usije jaribu hii mbinu tafadhaliWeka samaki karibu na mlango akiingia funga mlango then chukua mwiko anza kupiga humo ndani ....utakuja kunisimulia
Hahahaha... Unataka mleta mada afe...Weka samaki karibu na mlango akiingia funga mlango then chukua mwiko anza kupiga humo ndani ....utakuja kunisimulia
Gentaaaaaaaaaaa
Sio jina La member ni Dawa ya kuwafukuza paka hao.Ndiyo nani huyu Ndugu?
😜Hahahaha... Unataka mleta mada afe...