Naombeni Tafsiri ya ndoto hii

Naombeni Tafsiri ya ndoto hii

Leo nimeota Tena ndoto nipo na Rais wa nchi fulani kwenye gari la jeshi. Kwenye gari tulikiwepo Mimi na walinzi wawili wa Rais wakiwa wanawake.

Gari tulimo kuwemo lilikuwa la jeshi na wote tulikuwa tumevaa kijeshi. Rais alikuwa amaekaa mbele na dereva na sisi tulikuwa tumekaa nyuma na walinzi. Wote tumevaa nguo za jeshi.

Tulipofika sehemu fulani Kama porini dereva ni Kama akapigiwa simu na Wana usalama akageuza gari haraka. Mimi nikashtuka moyoni inakuaje dereve amegeuza gari haraka tunataka kuvamiwa?.

Lakini gari ikageuza tukaelekea sehemu nyingine. Baadae tukaenda kula Mimi na wale walinzi wawili wa Rais na afisa usalama mmoja aliyeuwa amevaa kiraia.
 
Kwakweli ata mm nimeota naongea na mama Samia sijawai kupata ndoto za kuongea na mkuu wa nchi.
 
Back
Top Bottom