KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
JF wavuta ugoro na wanywa dabo Kiki nao wanatafsiri ndotoKwa ushauri tu wa bure ima uufuate au uupuuze, usipende pende sana kuambiwa tafsiri za ndoto unazoziota
Usipende kusimulia watu umeota nini
Kikiwa kizuri muombe mola wake akijaalie, kikiwa kibaya muombe akuepishe nalo
Na ikiwa basi inajirudia rudia Mara kwa Mara basi ukiamua kuuliza uliza kwa mtu ambae kwa maono yako unamuona ni mwwnye hekima na busara au mjuzi
Lakini hizi za Mara moja moja jaribu kutulia nalo mwenyewe