Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

Kwa ushauri tu wa bure ima uufuate au uupuuze, usipende pende sana kuambiwa tafsiri za ndoto unazoziota

Usipende kusimulia watu umeota nini
Kikiwa kizuri muombe mola wake akijaalie, kikiwa kibaya muombe akuepishe nalo

Na ikiwa basi inajirudia rudia Mara kwa Mara basi ukiamua kuuliza uliza kwa mtu ambae kwa maono yako unamuona ni mwwnye hekima na busara au mjuzi

Lakini hizi za Mara moja moja jaribu kutulia nalo mwenyewe
JF wavuta ugoro na wanywa dabo Kiki nao wanatafsiri ndoto
 
Back
Top Bottom