- Thread starter
- #61
Yes tuwe wazalendo Hata kama yataonekana yanafaidaMkuu wewe Mzalendo wa kweli
Wanasheria wapo watakupa utaratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes tuwe wazalendo Hata kama yataonekana yanafaidaMkuu wewe Mzalendo wa kweli
Wanasheria wapo watakupa utaratibu
Unachotaka kusema ni nini sasa!Nyie ndio wazazi hamuweki bidii kulea, kuwajua na kuwa fahamu watoto wenu, halafu wakikua wakawatema mnaanza kulalamika watoto hawapendi wazazi wao. Kisa mambo mnaona madogo ila kwa mtoto mkubwa sana yana mchoma.
Kuna njia nyingi ungefanya kumsaidia na kuweka bond nae pia kuzaa mengi mazuri kwake, kuliko hatua hii unataka kuchukua.
Dah mwanangu 2009 watu walifeli sana chunguzaNgoja nkuibie siri
(ikifika mwaka mmoja kabla uchaguzi mfano 2004/2005, 2009/2010,2014/2015,2019/2020,2024/2025
Kutokana uchaguzi jaribu kuchunguza wanafunzi wengi huwa wanafaulu
(formula ya usahihishaji inayotumika
Ni "mwanafunzi anauelewa japo hajapatia jibu"
Pili kuna formula za standardization labda walimu wa nakubali ana wanaongeza marks 10 10 kutokana ufaulu kwa average ya wanafunzi niishie hapa.
Sijajua nakmbk 2012 walifyekwa vibayaDah mwanangu 2009 watu walifeli sana chunguza
Kama waziri anabisha wazazi tuko tayali kuwaleta watoto mbele wahakikiwe! Siyo kwa ubaya lakini hata kama tunabebana siyo kwa style hii ni kuuwa taaluma makusudi au kwa bahati mbayaNimetoka kuongea na dada yangu kuna mtoto wa Kaka yetu ni mzito tena mzito hasa kiufupi tulikuwa tunasubiri amalize aolewe cha ajabu amepata division III kwa kweli familia nzima tumeshangaa.
Something is not right,hata majuzi kati nilikuwa namfanyia dogo application ya chuo kikuu nikashangaa Shule ya Serikali ina karibu division I 200 na usher nilijiuliza maswali mengi sana.
Ni aibuHatari sana
Wewe ambae uko serious subili utakapozalishwa tutajuaUnaonekana ni mzazi ambae hauko serious na wanao,itakuwaje umwache huru kiiivyo,,kidaftari kimoja unamwangalia tu,hauko makini au huyo ni mtoto wa jirani yako kama si nduguyo.
Ooh pole ,lkn mi si wakuzalishwa.Wewe ambae uko serious subili utakapozalishwa tutajua