Naombeni tricks and tips za kumtunza mke wangu

Naombeni tricks and tips za kumtunza mke wangu

Nataka mke wangu siku zote awe soft, young elegant and flourishing, sitaki aonekane mzee,

Naombeni uzoefu kuanzia moangilio wa uzazi na mambo mengine

Shukran
ili uyafikie malengo hayo fanya ifuatavyo:
1.mpe furaha ya moyo,usichepuke kabisa,mshirikishe kwenye kila kitu chako
2.hakikisha chakula mnakula natural food na kama mnakunywa pombe iwe ni mwishoni mwa wiki tu,
3.sex mfanye sana tena usimhurumie yaani mkanyage kisawasawa
4.mpumzike sana,na uepuke magomvi kabisa na kila pakitokea kutoelewana,haraka sana ongeeni,jenga utamaduni wa kuongea nae
5.msiruhusu ndugu kuja kukaa ba nyie waje kutembea na kuondoka
6.msaidiane kazi za nyumbani mara urudipo kazini
7.kama ni mama wa nyumbani mtafutie kibiashara cha kumkeep bize
8.kila asubuhi ukiondoka kwenda kazini mbusu mdomoni na kwenye mbususu na ukirudi pia mbusu hivyohivyo
 
1. Mwambie ajitambue kwanza yeye ni nani, anataka kuwa nani, au wewe unatamani awe vipi.

2. Asikae bila kufanya kitu cha kumuingizia kipato.

3. Mle chakula bora kwa kiasi.

4. Mazoezi ya viungo kiasi.

5. Pangeni mipango bora ya kuwaaccomodate kipato chenu kama familia, kuwe na reasonable cash flow (kwa kiwango chenu) hii itampunguzia worries na kupaniki kuhusu future ya familia.

6.Mtafutie msaidizi wa kazi za ndani, na yeye asiache kufanya maana ni njia mojawapo ya kustay fit.

7. Skin products nzuri (sio vipako) na mavazi mazuri kulingana na kipato chenu.

NB: Kuzeeka ni lazima, tofauti ni tunazeeka vipi…. Maandalizi cheers 🥂
 
1. Kwanza uwe na gari asipigwe na jua
2. Uwe na kwako au panga apartment inayoeleweka kuepuka kero
3. Mfikishe kunako
Wanawake ili tunawiri na kupendeza tunahitaji utulivuu
 
Tafuta hela, tafuta hela, tafuta hela, hakikisha una hela alafu mfikishe anakokutaka hilo pia linachangia kwenye usoft usijetanguliza hela akaenda kufutia wazungu wa mwanaume mwenzako

Ngoja narudi tanesco wakiwasha umeme
 
Back
Top Bottom