Naombeni tricks and tips za kumtunza mke wangu

ili uyafikie malengo hayo fanya ifuatavyo:
1.mpe furaha ya moyo,usichepuke kabisa,mshirikishe kwenye kila kitu chako
2.hakikisha chakula mnakula natural food na kama mnakunywa pombe iwe ni mwishoni mwa wiki tu,
3.sex mfanye sana tena usimhurumie yaani mkanyage kisawasawa
4.mpumzike sana,na uepuke magomvi kabisa na kila pakitokea kutoelewana,haraka sana ongeeni,jenga utamaduni wa kuongea nae
5.msiruhusu ndugu kuja kukaa ba nyie waje kutembea na kuondoka
6.msaidiane kazi za nyumbani mara urudipo kazini
7.kama ni mama wa nyumbani mtafutie kibiashara cha kumkeep bize
8.kila asubuhi ukiondoka kwenda kazini mbusu mdomoni na kwenye mbususu na ukirudi pia mbusu hivyohivyo
Hiyo namba 7 sikujua. Wengine tunaagana kama salamu za maderva wa mabasi barabarani.
Au Mungu akufanikishe me wangu na unapewa gwala.
 
ili uyafikie malengo hayo fanya ifuatavyo:
1.mpe furaha ya moyo,usichepuke kabisa,mshirikishe kwenye kila kitu chako
2.hakikisha chakula mnakula natural food na kama mnakunywa pombe iwe ni mwishoni mwa wiki tu,
3.sex mfanye sana tena usimhurumie yaani mkanyage kisawasawa
4.mpumzike sana,na uepuke magomvi kabisa na kila pakitokea kutoelewana,haraka sana ongeeni,jenga utamaduni wa kuongea nae
5.msiruhusu ndugu kuja kukaa ba nyie waje kutembea na kuondoka
6.msaidiane kazi za nyumbani mara urudipo kazini
7.kama ni mama wa nyumbani mtafutie kibiashara cha kumkeep bize
8.kila asubuhi ukiondoka kwenda kazini mbusu mdomoni na kwenye mbususu na ukirudi pia mbusu hivyohivyo
Wanaume hiyo namba 1, piteni kama hamuioni hapo kwenye kumshirikisha kila kitu chako tofauti na hapo mtalia sana wanaume wezangu
 
Mambo mengi utayatimiza kwa urahisi ukiwa na hela
 
Back
Top Bottom