1. Mwambie ajitambue kwanza yeye ni nani, anataka kuwa nani, au wewe unatamani awe vipi.
2. Asikae bila kufanya kitu cha kumuingizia kipato.
3. Mle chakula bora kwa kiasi.
4. Mazoezi ya viungo kiasi.
5. Pangeni mipango bora ya kuwaaccomodate kipato chenu kama familia, kuwe na reasonable cash flow (kwa kiwango chenu) hii itampunguzia worries na kupaniki kuhusu future ya familia.
6.Mtafutie msaidizi wa kazi za ndani, na yeye asiache kufanya maana ni njia mojawapo ya kustay fit.
7. Skin products nzuri (sio vipako) na mavazi mazuri kulingana na kipato chenu.
NB: Kuzeeka ni lazima, tofauti ni tunazeeka vipi…. Maandalizi cheers 🥂