Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...